Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Habari JF.
Kuna mambo yananitatiza kuhusu msimamo wa huyu jamaa na hasa kwa Yale mazuri yaliyofanywa na Magufuli na Serikali yake ya awamu ya tano..wananchi tunataka tujue mambo fulani fulani kuhusiana na huyu Lissu maana kiukweli kabisa na msema ukweli ni mpenzi wa Mungu, Lissu wananchi hatumwamini kabisa.

Kama je ametumwa na mabeberu au anapiga nduru kutafuta mkate wa watoto..to be honesty wananchi wachache Sana wanamwamini..na sio wananchi tu hata chadema wenzake wapo ambao tumeongea nao wengi hawamwamini mule rohoni mwake ametumwa Nini.

Wengine wanasema ameshapewa mpaka uraia wa ukimbizi..Kuna wagombea urais wenzake Ndani ya chama chake pia hawamwamini...hata mwenyekiti wa chama chake naye inaonekana yupo mguu pande.
 
Habari JF.
Kuna mambo yananitatiza kuhusu msimamo wa huyu jamaa na hasa kwa Yale mazuri yaliyofanywa na Magufuli na Serikali yake ya awamu ya tano...

Huu utoto ulioongea hapa ndio umeufungulia uzi?
 
Ametoa ajira milioni nane.
Milioni hamsini kila kijiji na mtaa.
Uchumi wa watu umekuwa na vyuma vimeachia.
Kodi ni ndogo na biashara zimeogezeka mno.
Ujenzi wa flaiova
Mafanikio mengine mtaongeza.
 
wanalipwa hao , kila uzi elfu 7
Imagine haya ndio majibu ya vijana wa ufipa..hivi tutafika kweli tuendako..hatufanyi mzaha hapa tunakwenda kufanya maamuzi ya kitaifa na mwelekeo wetu watanzania..nahisi umeshakata tamaa jamaa yako ndio keshapotea..maana Hana Sera zilizo wazi...
 
Siasa zipo na zita zidi kuwepo mpaka mwisho wa pumzi zetu.

Sometime sisi binadamu tunapenda kuweka asilimia 100% kwa binadamu mwenzetu hata kama yupo sawa au sio sawa.

Tabia hii sio kwenye siasa hata kwenye kipato,mtu maarufu n.k
Unakuta hata kibaya au kakosea bado tunakubali na kufanya yale au kuona lipo sawa.

Kuna mambo katika kampeni za lisu mda mwengine mimi mshamba wa siasa naona hana nipeleka chaka na siasa zake zilizo mix na sheria .

Mfano🙁1)utafanya wafugaji wapeleke mifugo kwenye ifadhi.
Hivi nini maana ya kuweka makubaliano kuwa wanyama wa pori kupata kuishi sehemu yao.si kutafuta maafa na ujangili.

(2) kutuambia dunia itakuwepo bila tanzania.kitendo ichi kama kututukana na kuona kuwa kule ndio dunia na sisi sijui nani.mtu asiye penda utaifa wake hata kama nchi imekufanyia baya bali utaifa kwanza.
Mfano USA kuna unyanyasaji wa watu weusi lakini au watu weusi wa USA hata siku moja utakuta kuizaraulisha nchi yake.na kutetea utaifa wake.

Sitetei chama wala wana siasa.katika sera ambazo hata unaweza kuvutiwa nazo kama wapinzani ni ACT.
Lisu kujua sheria sio kujua siasa.jaribu kutafuta watu watakao kupa sera bora na muongozo mzuri nivutike sio jazba kiufupi.
 
Dunia bila tanzania alimaanisha...Maisha ya Zimbabwe ya Mugabe na nchi zote zinazojifanya zinaweza kujiendesha

Hili najua hata nyinyi Lumumba mnaelewa .

Kwa siumeona uchina wanavyolialia saizi??

Sasa hao ni wachina wenye uchumi namba mbili..sembuse Tanzania???

NAKAZIA, TANZANIA INAHITAJI DUNIA, KULIKO DUNIA INAVYOHITAJI TANZANIA.
 
Siasa zipo na zita zidi kuwepo mpaka mwisho wa pumzi zetu.

Sometime sisi binadamu tunapenda kuweka asilimia 100% kwa binadamu mwenzetu hata kama yupo sawa au sio sawa.

Tabia hii sio kwenye siasa hata kwenye kipato,mtu maarufu n.k
Unakuta hata kibaya au kakosea bado tunakubali na kufanya yale au kuona lipo sawa.

Kuna mambo katika kampeni za lisu mda mwengine mimi mshamba wa siasa naona hana nipeleka chaka na siasa zake zilizo mix na sheria .

Mfano🙁1)utafanya wafugaji wapeleke mifugo kwenye ifadhi.
Hivi nini maana ya kuweka makubaliano kuwa wanyama wa pori kupata kuishi sehemu yao.si kutafuta maafa na ujangili.

(2) kutuambia dunia itakuwepo bila tanzania.kitendo ichi kama kututukana na kuona kuwa kule ndio dunia na sisi sijui nani.mtu asiye penda utaifa wake hata kama nchi imekufanyia baya bali utaifa kwanza.
Mfano USA kuna unyanyasaji wa watu weusi lakini au watu weusi wa USA hata siku moja utakuta kuizaraulisha nchi yake.na kutetea utaifa wake.

Sitetei chama wala wana siasa.katika sera ambazo hata unaweza kuvutiwa nazo kama wapinzani ni ACT.
Lisu kujua sheria sio kujua siasa.jaribu kutafuta watu watakao kupa sera bora na muongozo mzuri nivutike sio jazba kiufupi.
Delete ccm Oct 28
 
Jiwe akikosea ndio sio sawa, sababu tumemkabidhi kodi zetu halafu hafanyi wanayotaka watu anafanya anayotaka yeye.
 
Tatizo Lisu hajikiti kwenye sera Akikuta kibaka anakimbizwa na polisi kwenye hotuba ya kampeni atasema sisi Chadema tukishika nchi tutapiga marufuku polisi kukimbiza vibaka.Anaenda na matukio
 
kwa mwendoo huu Inainyesha ni kias gani Jpm ashaanza kuogopa Protocol za Lissu Tumpe kura ili kumuonesha watanzania hatushindwi kitu kiukweli Jpm hapana
Screenshot_20200904-125833_1599213642354.jpg
 
Imagine haya ndio majibu ya vijana wa ufipa..hivi tutafika kweli tuendako..hatufanyi mzaha hapa tunakwenda kufanya maamuzi ya kitaifa na mwelekeo wetu watanzania..nahisi umeshakata tamaa jamaa yako ndio keshapotea..maana Hana Sera zilizo wazi...
Lissu ni chizi
 
Mhe.Lisssu,hii inaweza kuwa ni ahadi yako kama Mgombea Uraisi kwa lengo la kuhakikisha riba za Mikopo katika mabenki ya kibiashara zinapungua na hivyo kuiwezesha wananchi kukoba kwa riba nafuu kutoka katika mabenki haya.

Pia,ahidi kutazama upya athari za fedha za serikali kuwekewa Benki Kuu badala ya fedha hizo kukaa katika mabenki ya kibiashara na ikionekana hasara ni kubwa kuliko faida,basi toa abadi ya kurudisha utaratibu wa zamani wa fedha za serikali kukaa katika mabenki ya kibiashara.

Ni ushauri kuelekea Oktoba 28 mwaka huu.
 
CHADEMA hamuwezi kujilinganisha na wenye rasilimali za nchi tangu uhuru, watu ambao baada ya vyama vingi (1992) waliambiwa warudishe mali zote serikalini ili mfumo wa vyama vingi uanze vyama vyote vikiwa sawa lakini walikataa.

Ni ukweli kuwa hamtaweza kutembea maeneo yote nchini, hivyo Jitangazeni nchi nzima kwa kutumia njia zifuatazo:

1. Tengenezeni mabango na vipeperushi vyenye picha ya Tundu Lissu msambaze nchi nzima. Pia muambatishe orodha ya vipaumbele kwa ufupi. Wapeni wagombea ubunge na udiwani wasambaze kwa wananchi pindi wanapokuwa mwenye kampeni katika maeneo yao.

2. Tafuteni vipindi katika redio zote zinazosikika nchi nzima na zile za kikanda muwaeleze sera zenu. Hii ifanywe na mgonbea ubunge au kiongozi yeyote wa CHADEMA ngazi ya wilaya au mkoa kulingana na upatikanaji wake. Mfano: Radio KASIBANTE FM, KILL FM, RADIO KWIZERA, RADIO TUMAINI, RADIO IMAAN, SIBUKA FM, SAFARI RADIO FM, RADIO UHAI, BOMBA FM RADIO, RADIO MAARIFA nk. hii itasaidia sana kwasababu wapiga kura walio wengi hawana tv wala smart phones
 
Chadema kila mtu ni kambare!

Live streaming tu imewashinda.
Hayo uliyowashauri watayawezea wapi?
 
Hawana hela ya posters wala ya matangazo kwenye Tv, Mbowe amekula zile 6bn wanaomba tuwachangie tena wale.
 
Back
Top Bottom