Habari JF.
Kuna mambo yananitatiza kuhusu msimamo wa huyu jamaa na hasa kwa Yale mazuri yaliyofanywa na Magufuli na Serikali yake ya awamu ya tano..wananchi tunataka tujue mambo fulani fulani kuhusiana na huyu Lissu maana kiukweli kabisa na msema ukweli ni mpenzi wa Mungu, Lissu wananchi hatumwamini kabisa.
Kama je ametumwa na mabeberu au anapiga nduru kutafuta mkate wa watoto..to be honesty wananchi wachache Sana wanamwamini..na sio wananchi tu hata chadema wenzake wapo ambao tumeongea nao wengi hawamwamini mule rohoni mwake ametumwa Nini.
Wengine wanasema ameshapewa mpaka uraia wa ukimbizi..Kuna wagombea urais wenzake Ndani ya chama chake pia hawamwamini...hata mwenyekiti wa chama chake naye inaonekana yupo mguu pande.