Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Professional Editor ,Kuna kitu Umesahau Sijui nikumbushe anyway Umesahau kuweka namba yako ya simu...😜

#Desert_lion
 
Tundu amekata tamaa mapema anaonekana kutamani angebaki ukimbizini
Jamaa amekuja na style za kampeni za 2010 na 2015. Tanzania ya 2020 ni tofauti sana na yeye amechanganyikiwa, hajuwi aanzie wapi, anarusha tu makombora bila target.
 
Wameletwa na malori kama wale wa chama fulani cha baba mwenye nyumba alieyumba?
 
Anamgongesha Jiwe na CCM mpaka huwezi amini ni siku kumi tu za kampeni. Jiwe amezeeka ghafla na akihutubia hakuna cha maana hata kimoja.
 
Mh Lissu, Hongera kwa namna unavyoendelea na Kampeni, Wewe kwa hakika ni mbeba maono wa Taifa hili...
Kuna sababu 1000 za kumtoa magufuli madarakani. Lissu hadi saivi kagusia 20 tu!!! Na magufuli kapagawa hadi anatoa amri kipindi cha uchaguzi za kutoa ajira na kutengeneza barabara. Lissu akifika sababu ya 100 tu lazima mtu aruke kwenye gari za msafara zile mtaniambia 😂😂😂
 
Back
Top Bottom