Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaulize wazazi waoNdugu zangu,
Haikueleweka mara moja kama watoto hawa wamefunga shule au lah. Picha inajieleza zaidi.View attachment 1563585
Tulia wewee wood packerNajaribu kuona alicholeta mleta mada huku ninakizungukia kila siku ila sioni!
Any way, kwa vile unafuatilia kampeni kupitia twiter na jf, uko sahihi.
Kushinda urais siyo kwenda kufoka foka Zanzibar na kusema utavunja muungano.Tulia wewee wood packer
Jikite kwenye mada wewe nut cracker.Kushinda urais siyo kwenda kufoka foka Zanzibar na kusema utavunja muungano
Tena MirembeAtakayepingana na hili andiko baasi anahitaji tiba ya haraka mno
Lisu tutamnyoosha kwenye box la kura atarudi analia kwa beberu wake Amsterdam ili akamfariji.Jikite kwenye mada wewe wood packer
Maada gani sasa? Hata wazanzibari waliona huyo ni domo kaya tu wakampuuza,Jikite kwenye mada wewe wood packer
Msiibe sera kwa ku kopi and paste mtapasuka msamba.Kushinda urais siyo kwenda kufoka foka Zanzibar na kusema utavunja muungano
Mnajifarij kwasababu ya TISS, NEC, police na wakurugenziLisu tutamnyoosha kwenye box la kura atarudi analia kwa beberu wake Amsterdam ili akamfariji.
Tukutane oktoba, hataamini anachokiona.
Kwa hivi sasa mgombea urais anayeoonekana kuwa na nguvu za watu wazima wapiga kura ni Tuundu Lissu wa Chadema. CCC wanahaha kwa mbali, kwani kama wamepigwa shoti. Majaliwa na Samia wamejigawa kufanya mashambulizi upande mwingine lakini bro bado ana ajenda inayotafisirika. Hawa watu 3, Magufuli, Samia na Majaliwa ni kama vile Lissu anawapa darasa. Leo utawasikia wakihaha kujibu hotuba zake na kesho wakiamka wanakopi na kupesti ilani yake. Ama kweli sikio la kufa...........
Tukirejea kwenye media, utawasikia watangazaji wakianza na habari za ccm na vyama vingine halafu mfalme anakuwa mwisho. Maana yake nini, ukianza na habari za Lissu basi baada ya taarifa yake watu wanasepa kutazama. Kwa maana nyingine watu wapo kumfuatilia Lissu tu. Nawasilisha