Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Hii picha imefanya nikudharau zaidi kuanzia leo. Yaani hata kuedit hujui
 
Kwa hivi sasa mgombea urais anayeoonekana kuwa na nguvu za watu wazima wapiga kura ni Tuundu Lissu wa Chadema. CCC wanahaha kwa mbali, kwani kama wamepigwa shoti.

Majaliwa na Samia wamejigawa kufanya mashambulizi upande mwingine lakini bro bado ana ajenda inayotafisirika. Hawa watu 3, Magufuli, Samia na Majaliwa ni kama vile Lissu anawapa darasa.

Leo utawasikia wakihaha kujibu hotuba zake na kesho wakiamka wanakopi na kupesti ilani yake. Ama kweli sikio la kufa.

Tukirejea kwenye media, utawasikia watangazaji wakianza na habari za ccm na vyama vingine halafu mfalme anakuwa mwisho. Maana yake nini, ukianza na habari za Lissu basi baada ya taarifa yake watu wanasepa kutazama. Kwa maana nyingine watu wapo kumfuatilia Lissu tu. Nawasilisha
 
This man is exceptional and peculiar. A visionary and charismatic leader we have been waiting for along time. Every green @$$ will be kicked mercilessly.

Antipas Muigayi the green @$$ kicker
 
Ukiiona badala ya Mheshimiwa kuinadi ilani ya chama chake wakati wa kampeni, yeye anaendelea tu kwa makusudi kutoheshimu na kukiuka kanuni na maadili ya uchaguzi, ujue hali mbaya.
 
Jana mlijificha wapi? Au bando limekata? Mwambieni aende mara maana yeye anaenda sehemu ambayo anadhani kuna washabiki wengi.
 
Jikite kwenye mada wewe wood packer
Maada gani sasa? Hata wazanzibari waliona huyo ni domo kaya tu wakampuuza,
Kama anataka watu wajue historia za muungano aombe kazi za ualimu akafundishe huko madarasani,
Kwa sasa watu wanataka maendeleo na sio historia.
 
Kwa hivi sasa mgombea urais anayeoonekana kuwa na nguvu za watu wazima wapiga kura ni Tuundu Lissu wa Chadema. CCC wanahaha kwa mbali, kwani kama wamepigwa shoti. Majaliwa na Samia wamejigawa kufanya mashambulizi upande mwingine lakini bro bado ana ajenda inayotafisirika. Hawa watu 3, Magufuli, Samia na Majaliwa ni kama vile Lissu anawapa darasa. Leo utawasikia wakihaha kujibu hotuba zake na kesho wakiamka wanakopi na kupesti ilani yake. Ama kweli sikio la kufa...........
Tukirejea kwenye media, utawasikia watangazaji wakianza na habari za ccm na vyama vingine halafu mfalme anakuwa mwisho. Maana yake nini, ukianza na habari za Lissu basi baada ya taarifa yake watu wanasepa kutazama. Kwa maana nyingine watu wapo kumfuatilia Lissu tu. Nawasilisha

Wameshikwa pabaya kutupoteza maboya na vi nyuzi uchwara imeshindikana.

Wakichimama nchale, wakikakaa na hata wakichuchumaa.

Na bado!
 
Back
Top Bottom