Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Lissu mwenyewe juzi alikiri kuwa ni vigumu sana kuishinda CCM sasa wewe ni nani na una nini hadi uweze kutoa comment kama hii.

Lissu alisema hivi, katiba haiko upande wetu, jeshi haliko upande wetu, usalama wa taifa na polisi hawako upande wetu, mifumo yote ya nchi haiko upande wetu hata NEC haipo upande wetu, akahoji, sasa hapo unawezaje kushinda? Lakini alisahau kuwa hata viongozi wa dini zote hawako upande wenu.

Haki ya nani sioni sababu ya Magufuli mzee huyu kuangaika na kampeni. Alipashwa alale afu siku ya mwisho aende kwenye tv na radio aombe kura kwa dakika 5 tu.
Magufuli yuko Chato anakula udaga kwa Raha tu kawaacha wahangaike na eti wametuma poyoyo wao Salum Mwalimu aokoe jahazi.
 
Yes, msukuma yeye ameshaomba hadi kwa kilugha apate yeye kura zote za wasukuma na wasimpe mtoto wa nje , So na wasingida nao wana mtoto wao, hakuna haja ya kuhangaika na mtoto wa kambo!
 
Back
Top Bottom