Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu


1599994925709.png
 
na hawa wakwenye malori unawahesabia maana wanahamahama wataharibu hesabu zako
JamiiForums-1382146454.jpg
 
Kwa response waliyomeonyesha watu wa Dar hata hizo laki tatu ni shida

Pia so far hana mkutano aliofanya uliofikisha hata watu elfu mbili

Mwanza alifikisha watu mia tisa ambao kwake ndio ulikuwa mkutano mkubwa sana
nilimuona dodoma ni aibu tupu
kazindua mkutano sokoni pia kakosa watu
 
Mwandishi hana hoja. It's another rubbish all together.
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Hata hivyo umejitahidi kuwaongezea wastani ni laki 4
 
Back
Top Bottom