Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Kwani Slow slow ana umri gani ?!
Taarifa zipo NIDA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Slow slow ana umri gani ?!
Ukweli mtupu huuUsipolisambaratisha jiwe October litakusambaratisha baada ya October
Una nyege ww si bure..Haya ni maoni binafsi, kuna usemi usemao chanda chema huvishwa pete. Mh Tundu lissu Rais ni nembo ya taifa na lazima asimamie misingi yote ya maadili na tamaduni zetu kama kiongozi na mtumishi wa umma.
Sasa basi huo utaratibu wako wa kunyoa sipendezi nao na nachukia napomuona mtu anayeitaka Ikulu anakuwa ananyoa kama yule tyrant wa North Korea. Badilika otherwise sisi wasimamia maadili hatutakutofautisha na Mose Iyobo.
Njoo nikukaze basi mkuu.Una nyege ww si bure..
Kwahiyo magufuli yy kashinda kwa kujenga uwanja wa ndege chatoAnaa kwenda wapi wewe ,JPM rais bado mpaka 25,sio mpuuzi mmoja ambay hta kijiji chake hajamaliza kuongoza