Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Kweli historia kiboko na kwa mbali naikumbuka ile tarehe 21 mwezi wa Desemba mwaka 1989, je ilikuwaje?...

Kulikuwa na nchi inaitwa Romania. Nchi hiyo ilikuwa ni rafiki mkubwa wa nchi yetu, Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Nchi hiyo rafiki ilitawaliwa na kiongozi ambaye aliogopwa na alipoongea maneno yaliyomtoka mdomoni yalikuwa kama sheria.

Kiongozi huyo, Nicolae Ceaușescu, ilidaiwa alipendwa na wananchi wake na kujaribu kumkosoa kulikuwa ni kama kujitia kitanzi.
Kulikuwepo na kakundi ka watu wasiojulikana ambao wakipata taarifa au wakikusikia unamkosoa kiongozi wao hukuonekana tena.

Siku ya siku ikafika, tarehe 21/12/1989 akiwahutubia wananchi waliokuwa wakishangilia kwa vifijo na nderemo mara mguno ukasikika...
Uwanja ukawa kimya kama vile washangiliaji wamemwagiwa maji baridi lakini zomea zomea ikawa inasikika ingawa kwa kufifia fifia.

Rais Nicolae Ceaușescu hakuamini mara moja kinachojiri na baada ya ukimya wa muda mfupi akaamua kuendelea na hotuba yake.
Alipoanza tena tu na zomea kurudi kwa kishindo, akapigwa butwaa na uso kuonesha mfadhaiko halafu hasira na kufuatiwa na woga.

TV ya taifa ikazimwa...

Je historia kama hii inaweza kujirudia Tanzania?​
 
Mimi mwenyewe siamini hata kidogo....!

Niko Shinyanga, lakini nilipoiona hii kitu ilinishangaza sana na kunitia hamasa isiyo ya kawaida....

Huyu mtu siyo wa mchezo.....

Kama mzaha, tunaweza kushuhudia siyo tu ushindi wa mtu huyu ktk uchaguzi huu bali MAPINDUZI ktk staili na namna ya ajabu kuwahi kutokea....!

Kwa kweli Mungu ana namna yake ya kutenda mambo yake maana anasema;

"....Njia zangu siyo njia zenu (wanadamu) na mawazo yangu siyo mawazo yenu...."

Tuacheni tu Mungu aitwe Mungu kwa kweli....!
Taifa limelia Sana juu ya huyu mtu mpaka wengine wamediriki kuhoji uraia wake labda mrundi maana roho yake c ya kawaida.
 
However, Ceaușescu had misjudged the crowd's mood. Roughly eight minutes into his speech, several people began jeering and booing, and others began chanting "Timișoara!" He tried to silence them by raising his right hand and calling for the crowd's attention before order was temporarily restored, then proceeded to announce social benefit reforms that included raising the national minimum wage by 200 lei per month to a total of 2,200 per month by 1 January. Images of Ceaușescu's facial expression as the crowd began to boo and heckle him were among the most widely broadcast of the collapse of Communism in Eastern Europe.[14]

Failing to control the crowd, the Ceaușescus finally took cover inside the building that housed the Central Committee of the Romanian Communist Party. The rest of the day saw an open revolt of Bucharest's population, which had assembled in University Square and confronted the police and army at barricades. The rioters, however, were no match for the military apparatus concentrated in Bucharest, which cleared the streets by midnight and arrested hundreds of people in the process.

Flight on 22 DecemberEdit
By the morning of 22 December, the rebellion had already spread to all major cities across the country. The suspicious death of Vasile Milea, Ceaușescu's defence minister, later confirmed as a suicide (he tried to incapacitate himself with a flesh wound but a bullet severed his artery),[38] was announced by the media. Immediately thereafter, Ceaușescu presided over the CPEx (Political Executive Committee) meeting and assumed the leadership of the army. Believing that Milea had been murdered, rank-and-file soldiers switched sides to the revolution almost en masse. The commanders wrote off Ceaușescu as a lost cause and made no effort to keep their men loyal to the government. Ceaușescu made a last desperate attempt to address the crowd gathered in front of the Central Committee building, but the people in the square began throwing stones and other projectiles at him, forcing him to take refuge in the building once more. He, Elena and four others managed to get to the roof and escape by helicopter, only seconds ahead of a group of demonstrators who had followed them there.[14] The Romanian Communist Party disappeared soon afterwards; unlike its kindred parties in the former Soviet bloc, it has never been revived.

During the course of the revolution, the Western press[who?] published estimates of the number of people killed by Securitate forces in an attempt to quell Ceaușescu and support the rebellion[citation needed]. The count increased rapidly until an estimated 64,000 fatalities were widely reported across front pages.[39] The Hungarian military attaché expressed doubt regarding these figures, pointing out the unfeasible logistics of killing such a large number of people in such a short period of time. After Ceaușescu's death, hospitals across the country reported a death toll of fewer than 1,000, and probably much lower than that.[40]

DeathEdit
 
Tatatiiibu uoga unaanza kuwatoka watu tunaweza kushuhudia yasiyotarajiwa watanzania wanaowadharau Leo wanweza kuwa heroes kuliko Arab uprising
Jamani, JPM leo akiwa Kasulu kwa ujasiri mkubwaa,isema yeye tayari keshashinda hivyo anahitaji tu kupewa wabunge na madiwani wengi. Mnaielewa hiyo? Je, ni planned goli la mkono? Get set!
 
Ngoja Lissu amjibu

Kwa watu wenye high intelligence hawapati shida kuelewa kilichopangwa kutokana na kauli za mzee mwenyewe; sijui ni kujisahau au kiherehere🤔
Onganisha dots ya speeches alizozitoa kabla ya matukio makubwa yaliyoikumba nchi utaelewa.
Napita hivi.........
 
Kuna jambo linakuja,,,Taifa linazidi kuchemka,,Watanzania sio wajinga,wa najua wanalotaka... Muda uliobaki ni mrefu kufika uchaguzi... Kuna mgombea anaweza kuzomewa kwenye mkutano wake,tena na walio wake mwenyewe...
Umeona mbali sana.
 
Hata Hashim Rungwe watu wanamuimbia Rais Raisi Raisi Raisi,wapiga kura sio watu
 
The movement for ukombozi is now regaining its momentum....

The situation in Sumbawanga was real

People fearlessly were shouting

"....Tundu Lissu Rais wetu..."

"...Tundu Lissu Rais wetu...."

"....Magu - fuuli aondoke..."

"....Magu - fuuli aondoke..."

This is reality. Its not a dream....!!

What's coming next? We all know....Magufuli out!!!
View attachment 1572886
Waliimba hivyo kwa Mbowe, Dr. Slaa, na kwa lowasa. Kuimba mtaimbiwa Sana, ila hapo hao waimbao ndio watampa kura nyingi Magufuli. Tanzania Hoyee.
 
Hakuna mkoa Magufuli ana uhakika wa kupata kura nyingi kumshinda Lissu, tunazidi kuona hata ile mikoa ambayo ilionekana kuwa ngome ya CCM lakini wananchi wake sasa wana muamko wa hali ya juu wa mabadiliko.

Hili Lissu ameshalitambua ndio maana anawasisitiza wakapige kura na kuzilinda, ana uhakika kitakachowaokoa CCM ni wizi wa kura tu, nothing else, na huu ni uthibitisho mwingine kwamba hata wale wanaojitokeza kwenye mikutano ya CCM wengi wao ni wapinzani, ukiondoa wale wanaovaa nguo za kijani.View attachment 1572910

Bwana yule angekuwa na akili angeacha kampeni. Angalia hiyo picha. Wananchi wanamuonyeshea vidole viwili vya PEOPLE'S POWER ya CHADEMA mbele ya gari yake bila ya woga. Hii ni dalili wazi kabisa kuwa HATUKUTAKI.
 
Kweli historia kiboko na kwa mbali naikumbuka ile tarehe 21 mwezi wa Desemba mwaka 1989, je ilikuwaje?...

Kulikuwa na nchi inaitwa Romania. Nchi hiyo ilikuwa ni rafiki mkubwa wa nchi yetu, Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Nchi hiyo rafiki ilitawaliwa na kiongozi ambaye aliogopwa na alipoongea maneno yaliyomtoka mdomoni yalikuwa kama sheria.

Kiongozi huyo, Nicolae Ceaușescu, ilidaiwa alipendwa na wananchi wake na kujaribu kumkosoa kulikuwa ni kama kujitia kitanzi.
Kulikuwepo na kakundi ka watu wasiojulikana ambao wakipata taarifa au wakikusikia unamkosoa kiongozi wao hukuonekana tena.

Siku ya siku ikafika, tarehe 21/12/1989 akiwahutubia wananchi waliokuwa wakishangilia kwa vifijo na nderemo mara mguno ukasikika...
Uwanja ukawa kimya kama vile washangiliaji wamemwagiwa maji baridi lakini zomea zomea ikawa inasikika ingawa kwa kufifia fifia.

Rais Nicolae Ceaușescu hakuamini mara moja kinachojiri na baada ya ukimya wa muda mfupi akaamua kuendelea na hotuba yake.
Alipoanza tena tu na zomea kurudi kwa kishindo, akapigwa butwaa na uso kuonesha mfadhaiko halafu hasira na kufuatiwa na woga.

TV ya taifa ikazimwa...

Je historia kama hii inaweza kujirudia Tanzania?​

Naona vinafanana 100%
 
However, Ceaușescu had misjudged the crowd's mood. Roughly eight minutes into his speech, several people began jeering and booing, and others began chanting "Timișoara!" He tried to silence them by raising his right hand and calling for the crowd's attention before order was temporarily restored, then proceeded to announce social benefit reforms that included raising the national minimum wage by 200 lei per month to a total of 2,200 per month by 1 January. Images of Ceaușescu's facial expression as the crowd began to boo and heckle him were among the most widely broadcast of the collapse of Communism in Eastern Europe.[14]

Failing to control the crowd, the Ceaușescus finally took cover inside the building that housed the Central Committee of the Romanian Communist Party. The rest of the day saw an open revolt of Bucharest's population, which had assembled in University Square and confronted the police and army at barricades. The rioters, however, were no match for the military apparatus concentrated in Bucharest, which cleared the streets by midnight and arrested hundreds of people in the process.

Flight on 22 DecemberEdit
By the morning of 22 December, the rebellion had already spread to all major cities across the country. The suspicious death of Vasile Milea, Ceaușescu's defence minister, later confirmed as a suicide (he tried to incapacitate himself with a flesh wound but a bullet severed his artery),[38] was announced by the media. Immediately thereafter, Ceaușescu presided over the CPEx (Political Executive Committee) meeting and assumed the leadership of the army. Believing that Milea had been murdered, rank-and-file soldiers switched sides to the revolution almost en masse. The commanders wrote off Ceaușescu as a lost cause and made no effort to keep their men loyal to the government. Ceaușescu made a last desperate attempt to address the crowd gathered in front of the Central Committee building, but the people in the square began throwing stones and other projectiles at him, forcing him to take refuge in the building once more. He, Elena and four others managed to get to the roof and escape by helicopter, only seconds ahead of a group of demonstrators who had followed them there.[14] The Romanian Communist Party disappeared soon afterwards; unlike its kindred parties in the former Soviet bloc, it has never been revived.

During the course of the revolution, the Western press[who?] published estimates of the number of people killed by Securitate forces in an attempt to quell Ceaușescu and support the rebellion[citation needed]. The count increased rapidly until an estimated 64,000 fatalities were widely reported across front pages.[39] The Hungarian military attaché expressed doubt regarding these figures, pointing out the unfeasible logistics of killing such a large number of people in such a short period of time. After Ceaușescu's death, hospitals across the country reported a death toll of fewer than 1,000, and probably much lower than that.[40]

DeathEdit
Wananchi wakishaamua la kwao hata Military inawaside. Hii ndio kanuni ya jeshi. Mwanzo wanakulinda kama wanaona wananchi wako na wewe. At the end kikinuka hata bodyguard wako anakuchapa chuma mbele za wananchi.
 
Back
Top Bottom