Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Mwaka 2015 mlichukua sisimizi mkawaedit ionekane ni nyomi la watu

Siwalaumu mnakula kwa propaganda mnazofanya
 
2015 watu tulimpigia kura magufuri kwa histotia yà utendaji wa kazi lakini cha moto tumekiona siwezi thubutu tena kumpa kura yangu
Kipimo cha ushindi kingekuwa ni nyomi Lowassa angeshinda asubuhi na mapema. Wapinzani mnakwama sana.
 
2015 watu tulimpigia kura magufuri kwa histotia yà utendaji wa kazi lakini cha moto tumekiona siwezi thubutu tena kumpa kura yangu
Kuna mtu nimemwambia kuna kundi kubwa linamfuata LISSU
 
2015 watu tulimpigia kura magufuri kwa histotia yà utendaji wa kazi lakini cha moto tumekiona siwezi thubutu tena kumpa kura yangu
Wapiga dili wote lazima mjute kukatiwa mrija wa ulaji.
 
Wingi wa watu ufanya kazi ya wizi kuwa nzito. Uzuri mwizi mzoefu amepumzika milele lupaso
 
Chama mfu Ni kile kinachobebwa na dola badala ya umma, patamu Sana this time wafanyakazi wa dola 5 yrs now awajapandishwa mishahara sioni ccm itakapoponea
 
Tarime wajiandae kubomolewa nyumba zao wakiichagua ccm Dr visasi atawashughulikia kweli kweli kwa nyomi hio
 
Imani? Imani kwenye siasa za ushindani?

Lisu ni kidagaa! Ataprove hilo oktoba 28
Siyo tu ni kidagaa, Lissu ni hamnazo kwa kuwa hajui kuwa anaowasimulia porojo zake wanajijua. Km leo Kanda ya Ziwa anawakumbusha wavuvi kuchomewa nyavu kana kwamba ni jambo jipya. Asilolijua ni faida iliyopatikana kwa hatua hiyo. Sasa hivi aina na kiwango cha samaki wanaovuliwa wavuvi na walaji wanashukuru.

Anawaambia wafanya biashara ndogo kuwa bei ya vitambulisho ni ya kinyonyaji. Wahusika wamemjibu faida ya vitambulisho hivyo.

Anaishitumu Serikali kwa uwongo ati wajawazito wanatozwa kodi. Kwa kuwa yeye si mwanamke wala hana mjamzito hajui kuwa huduma yao imeboreshwa maradufu.

Anachukua nafasi ya wafanya biashara na kudai wengi wamefunga biashara. Kwa kuwa hakuwa nchini muda mrefu, na hasa wakati wa korona, kushuhudia Taifa likijitegemea kwa mahitaji yote kutoka kwa biashara ya ndani.

Hakika, mfa maji hutapatapa maana angalau angewauliza wagombea wa chama chake (wabunge + madiwani) kero na mahitaji ya wakazi wa maeneo husika ili porojo zake angalau ziwe na uhalisia.

Nilisema awali kwamba, baada ya kampeni zake za kashfa, lawama na dharau, anawachia wagombea wa CCM kazi nyepesi ya kuomba kura. Wanachofanya ni kutoa ushahidi ulio wazi kujibu tuhuma hizo. Na hili linafanyika kwenye Kata, nyumba kwa nyumba (ya mvuvi, mfanya biashara ndogo, mja mzito, mfanya kazi, nk).

Kwa upande wa wagombea wa chama chake wanakuwa na mtihani mgumu wa kutetea tuhuma alizozisema Boss wao. Humu JF wafuasi wanashangilia ushindi wa nyomi, kama siyo ujuha ni ni upotoshaji wa kitoto (sifa ya Mpumbavu na Lofa).
 
Kurudisha Mamlaka ya kutumia fedha za UMMA kwa WANANCHI
Hahahahaaaaa! Au kwa kuwa wagombea wa CCM hawajaanza kuanika tuhuma zilizo na ushahidi usio na mashaka? Kwa mfano, wapi zilipo fedha za ruzuku na mfuko wa jimbo (hupewa mbunge)?
 
Lissu akiongea sauti yake ina mamlaka..watu wa kiroho inawezekana ana upinde kama wa Yesu ila Sisi hatuuoni
 
Back
Top Bottom