Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Sera yake kubwa Lisu na watu wa Chademe ku lokudouni, hii nduyo sera wanayoimanini sana kutokana na gonjwa hili la korona ambalo linawasumbua majirani zetu na nchi za ulaya.

Shirika la Afya Duniani limesema ugonjwa huu utaendelea hata kwa zaidi ya miaka 2 hivyo kama tutampa Lisu nchi inamaana chakwanza ni kutufungia ndani kama wazungu wanavyofanya kwani na yeye ameshaonekana akilisisitiza hili na hajawai kukanusha au kufuta useme au kumuunga mkono Pombe kwa kupambana na Korona.

Na wachunguzi wa mambo ya kisiasa wanasema kuwa Lisu anaamini sana wazungu kwa kilakitu hivyo itakuwa raisi kwake kutufungia ndani kwa muda wa miaka yote2 ndani kama wazungu walivyo agiza hili kutekeleza sera yao ambayo tuliiona pia wakati walivyokimbia bungeni kwa kuogopa kufa na Korona.
 
Hivi kule kuitwa na hiyo kamati ya maadili alienda Lissu maana sijasikia tena tangu bodaboda ilivopeleka barua
 
Litania ya Ushindi.png
 
Back
Top Bottom