Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Habari za jioni, kuna jambo limenkshangaza sana leo na sikutegemea kuliona.

Dar mpya tv ni media ambayo imekuwa ikitoa support kubwa sana kwenye kampeni za chadema kwa ujumla, na nikiri kwa hilo wameonyesha kuwa fair sana.

Leo mgombea wetu amepita sehemu nyingi na mmetuhabarisha kwa kutonyesha video na picha, ni jambo zuri

Ila imekuwaje mmeshindwa kabisa kutuonyesha video wala picha yoyote wakati wa mkutano? Mmetuwekea video wakati mgombea wetu anaondoka, hii sio fair kabisa.

Mjirekebishe
 
#NiYeye2020 tusifanye makosa hata chembe

Kamanda hao maelfu wako wapi hahahahahah hii nawambia hakuna rangi mtaacha ona hahaba[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Tunataka mapokezi ya Chato. Mbona hamleti video za yaliyojiri Chato?
 
Hahahahaha eti maelfu hahahaha hivi hao watu wanafika hata buku hahahahah! Uko mnapotezq muda uko kura hamuwezi pata hahaha[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43]
Mbona unacheka cheka bila sababu upi sawa kweli upstairs?!

Wenzio wameshaanza vikao vyenu vya kupanga goli la mkono wewe uko hapa unacheka cheka tu!.
 
Habari za jioni, kuna jambo limenkshangaza sana leo na sikutegemea kuliona.

Dar mpya tv ni media ambayo imekuwa ikitoa support kubwa sana kwenye kampeni za chadema kwa ujumla, na nikiri kwa hilo wameonyesha kuwa fair sana.

Leo mgombea wetu amepita sehemu nyingi na mmetuhabarisha kwa kutonyesha video na picha, ni jambo zuri

Ila imekuwaje mmeshindwa kabisa kutuonyesha video wala picha yoyote wakati wa mkutano? Mmetuwekea video wakati mgombea wetu anaondoka, hii sio fair kabisa.

Mjirekebishe
We mjinga tu kwanza unatumia freebasic
 
Mgombea wenu alikuwa anapokea hela ya makinikia toka kwa mabeberu na baadae wakamsugue
 
Hahahahaha eti maelfu hahahaha hivi hao watu wanafika hata buku hahahahah! Uko mnapotezq muda uko kura hamuwezi pata hahaha[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43]
nyie sio kampeni ni tamasha lile, mnatumia wasanii kukusanya nyomi ili kuaminisha umma kwamba "yesu" wa chatoo anakubalika sana.
 
Chadema hua mnajaza sana ila kwenye kura sjui mnatokomeaga wapi
 
Back
Top Bottom