Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NEC walimkatili zile siku sabaKwa muda uliobaki sidhani Kama atapita maeneo yote hayo.
Usifananishe Rais na vitu vya kijinga!.. Msikili nchi haina Rais bado!.Kwasababu kuna mgombea mmoja anakua mapumziko siku 8 kampeni siku 3.
Usifananishe Rais na vitu vya kijinga!.. Msikili nchi haina rais bado!.
Lissu ndo Rais wako kuanzia mwezi ujao.. tuliza mshonoUsifananishe Rais na vitu vya kijinga!.. Msikili nchi haina rais bado!.
Lakini tuache utani Lissu ni mtambo mgumu sana, suluba zote hizo haonyeshi hata kuchoka.Kwa muda uliobaki sidhani Kama atapita maeneo yote hayo.
Lissu ni mtambo hatari sanaTundu Lissu, heshima kwako.View attachment 1602891
Imeandikwa katika kitabu cha Yoel 2:25 Mungu atarudisha siku zilizoliwa na nzige, parare na madumadu.Zile siku 7 zilikuwa na athari sana aisee
KOTE ALIKOTOKA NA ALIPO NA ATAKAPOKWENDA, AKIPATA ATADIWANI MUMOJA ATAKUA AMESHINDA UCHAGUZI MKUU.Yes, Tundu Lissu umebakiza mikoa ya Dar, Pwani, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Manyara na Tanga. Najua mikoa yote ya kusini kwako itakuwa ni mtelezo maana utaungana na chama mshirika cha ACT Wazalendo katika kuipausa pasua CCM. Hapa Dar napo utaenda vizuri kufagia upepo alioacha Magufuli ambao nao hauvumi tena.
Najua bado pia Hai, Moshi mjini, Same na Mwanga bila kusahau Tukuyu, Kyela na Chunya.
Tukazane tumalize nchi maana muda nao unaenda sana hasa ukizingatia tuna siku 10 tu za kumaliza kampeni. Tunataka tufike mpaka Mafia hatuachi kitu.
Kila lakheri na Mungu akuepushie nongwa.
Tundu Lissu ni mpango wa Mungu kuirudisha Tanzania kwa Watanzania. Huyu mhutu Magufuri toka Burundi ametuharibia nchi yetu. Kwa vyovyote vile baada ya tarehe 28/10/ 2020, Tanzania itakuwa inasherehekea uhuru wa pili baada ya uhuru w 1961.Yes, Tundu Lissu umebakiza mikoa ya Dar, Pwani, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Manyara na Tanga. Najua mikoa yote ya kusini kwako itakuwa ni mtelezo maana utaungana na chama mshirika cha ACT Wazalendo katika kuipausa pasua CCM. Hapa Dar napo utaenda vizuri kufagia upepo alioacha Magufuli ambao nao hauvumi tena.
Najua bado pia Hai, Moshi mjini, Same na Mwanga bila kusahau Tukuyu, Kyela na Chunya.
Tukazane tumalize nchi maana muda nao unaenda sana hasa ukizingatia tuna siku 10 tu za kumaliza kampeni. Tunataka tufike mpaka Mafia hatuachi kitu.
Kila lakheri na Mungu akuepushie nongwa.
Kampeni zinaenda kwa ngazi shehe. Mwanzo ilikuwa ngazi ya kanda, sasa ni ngazi ya majimbo. Kwa maana hiyo Dar bado sheikh. Tuliza mzuka, Tundu Lissu atakuponesha hicho kiharusi, au Stroke kwa lugha ya mabeberuMleta mada una wenge,
Dar si ndio Lisu alikofungua kampeni yake viwanja vya Mbagala ikafuatia na Tanganyika packers.
Naona mmevurugwa mpaka mnarudia rudia mikoa.