Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Mkuu hata Mimi nimefurahi sana waliopanga hiyo ratiba Mungu awape siha njema
Hii ni saa ya jiwe kupasuka kwa joto.
Nilitegemea mmoja afungie kampeni Mwanza, mwingine Dar.
Hivi Dodoma kwenye ngome yake anatafuta nini au ndio kwenda kuwaaga hivyo?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
KOTE ALIKOTOKA NA ALIPO NA ATAKAPOKWENDA, AKIPATA ATADIWANI MUMOJA ATAKUA AMESHINDA UCHAGUZI MKUU.
Zile takwimu kuwa Ccm inategemea watu wajinga na masikini hawakukosea. Tizama hata kuandika tu hujui !!?… Kweli mtaji wa Ccm ni watu kama wewe msiojielewa
 
Hii ni saa ya jiwe kupasuka kwa joto.
Nilitegemea mmoja afungie kampeni Mwanza, mwingine Dar.
Hivi Dodoma kwenye ngome yake anatafuta nini au ndio kwenda kuwaaga hivyo?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ndio ujue kuwa huyo jamaa sio mwanasiasa na hao aliowaajiri Bashiri na Polepole pia sio wanasiasa hawajui mikakati

Wao wanaamini Polisi zaidi.
 
Zile takwimu kuwa Ccm inategemea watu wajinga na masikini hawakukosea. Tizama hata kuandika tu hujui !!?… Kweli mtaji wa Ccm ni watu kama wewe msiojielewa
HAYAHAYA MATUSI YENU YAMESHAMGARIMU JAMAA YENU. HALAFU LEO HII ANAOMBA APEWE UONGOZI. TAIFA GANI LITAONGOZWA NA KIONGOZI ASIYE MWADILIFU? ENDELEENI KUTUKAÑA TU, ILA 28OCTOBER, SIO MBALI. MTAVUNA MATUSI YENU.
 
Hakuna watukanaji profesheno kama ccm.
Mkuu wa nchi anatukana akina akina mama eti wanataka wapanuliwe wapi...eti mnataka mpanuliwe tu ee

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Yes, Tundu Lissu umebakiza mikoa ya Dar, Pwani, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Manyara na Tanga. Najua mikoa yote ya kusini kwako itakuwa ni mtelezo maana utaungana na chama mshirika cha ACT Wazalendo katika kuipasua pasua CCM. Hapa Dar napo utaenda vizuri kufagia upepo alioacha Magufuli ambao nao hauvumi tena.

Najua bado pia Hai, Moshi mjini, Same na Mwanga bila kusahau Tukuyu, Kyela na Chunya.

Tukazane tumalize nchi maana muda nao unaenda sana hasa ukizingatia tuna siku 10 tu za kumaliza kampeni. Tunataka tufike mpaka Mafia hatuachi kitu.

Kila lakheri na Mungu akuepushie nongwa.
Nampongeza kwa Kuleta Hamasa na Chachu katika Kampeni hizi ila wenye Akili na Tanzania yetu tunajua Rais ni Dk. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Taarifa za Gereji, Gari la mka litakua barabarani kwa majaribio tena.
 
Zile siku 10 za kuzindua kikanda na zile 7 za kusimamishwa zimepotea bure
 
Wakati wa Nyerere kwa Mrema mtu kama anatakubebwa kama jeneza mwacheni, shida iko wapi? Polepole kwa Lissu; ukisikia msukule umeonekana pahala utavutiwa kwenda kuushangaa.

Naambiwa wawili hawa asili yao ni mkoa wa Mara.
 
😂 Sina hata nia ya kugombea na sidhani.. Kama ningekuwa na nia ningefatilia vizuri na kujua wapi pa kuanzia.. hata hizo sewage system ni jambo pia la kuangalia lkn si kila kitu chakumsukumizia rais..

Kwa bahati mbaya sana kwa mfumo wa utwala wa sasa Raisi ndio kila kitu, na hili halitekelezeki , hasa katika mazingira na utamaduni wa kiTanzania.

Kuna haja kubwa ya kubadili mfumo huu. kwa mfano, Raisi abaki na majuku ya kitaifa, wakati majukumu ya kimkoa au kikanda yapewe viongozi wa maeneo husika watakaochaguliwa na kuwajibika, sio kwa Raisi, bali kwa wananchi wa maeneo hayo, n.k
 
Back
Top Bottom