Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nimeipenda ratiba...hilo jiji livurugwe kila konaSasa ni wakati wa kuliteka Jiji la Dar
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda ratiba...hilo jiji livurugwe kila konaSasa ni wakati wa kuliteka Jiji la Dar
Mkuu hata Mimi nimefurahi sana waliopanga hiyo ratiba Mungu awape siha njemaNimeipenda ratiba...hilo jiji livurugwe kila kona
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hii ni saa ya jiwe kupasuka kwa joto.Mkuu hata Mimi nimefurahi sana waliopanga hiyo ratiba Mungu awape siha njema
Zile takwimu kuwa Ccm inategemea watu wajinga na masikini hawakukosea. Tizama hata kuandika tu hujui !!?… Kweli mtaji wa Ccm ni watu kama wewe msiojielewaKOTE ALIKOTOKA NA ALIPO NA ATAKAPOKWENDA, AKIPATA ATADIWANI MUMOJA ATAKUA AMESHINDA UCHAGUZI MKUU.
Ndio ujue kuwa huyo jamaa sio mwanasiasa na hao aliowaajiri Bashiri na Polepole pia sio wanasiasa hawajui mikakatiHii ni saa ya jiwe kupasuka kwa joto.
Nilitegemea mmoja afungie kampeni Mwanza, mwingine Dar.
Hivi Dodoma kwenye ngome yake anatafuta nini au ndio kwenda kuwaaga hivyo?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
KweliNdio ujue kuwa huyo jamaa sio mwanasiasa na hao aliowaajiri Bashiri na Polepole pia sio wanasiasa hawajui mikakati
Wao wanaamini Polisi zaidi.
HAYAHAYA MATUSI YENU YAMESHAMGARIMU JAMAA YENU. HALAFU LEO HII ANAOMBA APEWE UONGOZI. TAIFA GANI LITAONGOZWA NA KIONGOZI ASIYE MWADILIFU? ENDELEENI KUTUKAÑA TU, ILA 28OCTOBER, SIO MBALI. MTAVUNA MATUSI YENU.Zile takwimu kuwa Ccm inategemea watu wajinga na masikini hawakukosea. Tizama hata kuandika tu hujui !!?… Kweli mtaji wa Ccm ni watu kama wewe msiojielewa
Hakuna watukanaji profesheno kama ccm.HAYAHAYA MATUSI YENU YAMESHAMGARIMU JAMAA YENU. HALAFU LEO HII ANAOMBA APEWE UONGOZI. TAIFA GANI LITAONGOZWA NA KIONGOZI ASIYE MWADILIFU? ENDELEENI KUTUKAÑA TU, ILA 28OCTOBER, SIO MBALI. MTAVUNA MATUSI YENU.
Nyingi sana hizo atoke aonekane kawe mpk leo kimyaaaaKwasababu kuna mgombea mmoja anakua mapumziko siku 8 kampeni siku 3.
Nampongeza kwa Kuleta Hamasa na Chachu katika Kampeni hizi ila wenye Akili na Tanzania yetu tunajua Rais ni Dk. John Pombe Joseph Magufuli.Yes, Tundu Lissu umebakiza mikoa ya Dar, Pwani, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Manyara na Tanga. Najua mikoa yote ya kusini kwako itakuwa ni mtelezo maana utaungana na chama mshirika cha ACT Wazalendo katika kuipasua pasua CCM. Hapa Dar napo utaenda vizuri kufagia upepo alioacha Magufuli ambao nao hauvumi tena.
Najua bado pia Hai, Moshi mjini, Same na Mwanga bila kusahau Tukuyu, Kyela na Chunya.
Tukazane tumalize nchi maana muda nao unaenda sana hasa ukizingatia tuna siku 10 tu za kumaliza kampeni. Tunataka tufike mpaka Mafia hatuachi kitu.
Kila lakheri na Mungu akuepushie nongwa.
Gwajima ni mcheza x uunamtaka akufanye nnNireteeeeeeeniiiiiiii Gwajimaaaaaaaaaaa!
TUKANENI TUUU, ILA TAMBUENI HATUTAPELEKA RAISI MWENYE UTOVU WA NIDHAMU IKULU. MATUSI YENU MTAYAVUNA OCTOBER, 28.Hakuna watukanaji profesheno kama ccm.
Mkuu wa nchi anatukana akina akina mama eti wanataka wapanuliwe wapi...eti mnataka mpanuliwe tu ee
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Siyo mimi namtaka, ni Bob Marley anamtaka!Gwajima ni mcheza x uunamtaka akufanye nn
Tatizo gari inataka matengenezo kila baada ya siku mbiliKwasababu kuna mgombea mmoja anakua mapumziko siku 8 kampeni siku 3.
😂 Sina hata nia ya kugombea na sidhani.. Kama ningekuwa na nia ningefatilia vizuri na kujua wapi pa kuanzia.. hata hizo sewage system ni jambo pia la kuangalia lkn si kila kitu chakumsukumizia rais..
Simba mwenda pole ndio mla nyama.Nyingi sana hizo atoke aonekane kawe mpk leo kimyaaaa