Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Maeneo an ayozunguka magu ameyazunguka kwa miaka mitano na maneno ni yaleyale anayarudia kwa miaka yote hiyo
 
JIWE lazma arudie kampeni MWANZA, yaani yeye alikuwa anakusanya "ngombe kwa malori" wilaya zote, Lissu yeye watu kwa nauli zao wanamfuata.
Atajua hajui, ua, teka, poteza, bambikia kesi, mwisho wa siku tani7 za udongo lazma zikae kifuani.
Kibaya zaidi,hata ukiwa matakatifu,usipoua,usipoteka,usipo bambikia kesi,Ni lazima tani saba za mchanga zitakaa juu yako😂😂😂!
 
Hakuna watu mpaka sasa, naona magari yanapita huku kutangaza uwepo wake😂😂.
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Alikuwa ilemela, Leo ndo
Kazidiwa tayari Mwanza mjini kakabwa koo alikuwepo hapo anarudi tena.keshaishiwa majimbo ya kutembelea pumzi imekata alikuwa viwanja vya furahisha juzi tu
Alikuwa ilemela, leo ndo yuko nyamagana
 
Wewe kwa akili yako unafikiri kanda ya ziwa ni wasukuma tu
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Kwani Mwanza ina jimbo moja wewe nyenyere? Kaone kwanza katakuwa kanawashwawashwa haka!
 
Transit wakati ana mkutano hapo transit gani hiyo?
Zile vurugu mlizomfanyia jana Geita ni aibu kubwa na ni kosa kisheria mumewapa wahuni marungu ili wajeruhi lakini Mungu mkubwa yakabuma
 
Malumumba mwatia huruma kama lijualikali, badala ya kubwabwaja tu mngekusanya vielelezo vyenu na hayo mngepeleka polisi na takukuru ili hatua za kisheria zichukuliwe. Sauti ina mkauka bure.
 
Kanda ya ziwa mwaka 2015 watu walimpa kura nyingi magufuli kwa sababu ni mtoto wa nyumbani akiingia madarakani akawageuka anawachomea nyavu watu wanahitaji maendeo yao yey anawajengea uwanja ni kama kawadharau
 
Ukiwa Misungwi, ukumbuke Mnyeti mtoto wa dada yake na JPM. Ametuibia fedha nyingi sana za madini na kuweza kujenga uwanja wake wa michezo misungwi na anenunua timu yake ya michexo. Tumeibiwa Sana na huu uko.
Hivi kiupaumbele Cha Wana misungwi ni uwanja na team ya mpira kweli?
Maana wanasiasa vipaumbele vyao huwa havigusi maisha halisi ya wananchi hasa wa huko vijijini
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Approach hiyo kitaalamu inaitwa sensitisation.

Tafiti zinaonesha binadamu akiambiwa Jambo mara Kwa mara, Jambo hilo hubakia kwenye kumbukumbu zake na kumpa fursa ya kufanya maamuzi (Kupiga Kura) akiwa na uelewa mpana.
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
tnataka kura za mwanza maana 2015 ndo walimpa jiwe nchi
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Anawarahishia ccm mshinde vizuri wewe unaumia nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…