Pana kura ya turufu hapo. Naona wasukuma wanamgeuka msukuma mwenzao
Mkuu wasukuma hawajawahi kuwa pro ccm sijajua kwanini umesema wanataka kumgeuka mwenzao ?

Wasukuma hawajawahi kuwa pro udhalimu na uonevu kwanini unawahusisha na udhalimu na uonevu ?
 
kuna hatari ziwa Victooria lihamishiwa Dodoma sababu ya kiburi cha watu wake ....mnafurika hivyo ili iweje wakati huko ni nyumbani?
 
28/10/2020 Ni siku ya kumpangia kazi nyingine tuliyemwajiri kwenye OFISI nyeti ya umma mwaka 2015.

Na kama mwajiri, nafikiria kumpa kazi ya kuchunga mbuzi kwenye kiwanja Cha ndege kile kilichopo kijijini kwake.
I wish i could be IGP
 
Inakuhusu?
 
Hahahaha Mkuu usipoangalia Mwaka huu utapata stroke na pia inafaa wakuongezee posho yako ya siku maana wenzako wote washakata tamaa wameamua kukaa pembeni.
 
Walimfanyaje Bibie?
 
Kibaya zaidi,hata ukiwa matakatifu,usipoua,usipoteka,usipo bambikia kesi,Ni lazima tani saba za mchanga zitakaa juu yako😂😂😂!
... na kama unajua hayo kwanini utese au kuua wenzio? Kwamba wewe muuwaji hutakufa au? Sote ni binadamu lazima kuheshimu uhai wa wengine!
 
Halafu Lissu ahakikishe ile wiki ya mwisho tena apite na chopper kanda zote mbili hizi ya ziwa (Mwanza, Geita na Kagera)na ziwa Mashariki (Shinyanga, Simiyu na Mara). Yaani mwaka huu mpaka ajambe cheche!
Kagera hamna shida mkuu mambo ni safi ila hizo sehemu zingine ulizotaja
 
Kagera hamna shida mkuu mambo ni safi ila hizo sehemu zingine ulizotaja
Kagera, iringa Njombe morogoro, katavi mpanda Mwanza geita huko tayari kazi imeisha....
Wanaenda kufunga kazi Mara, arusha, kilimanjaro, dar singida dodoma na Zanzibar....
Tundu Lissu na ushindi wake w 80% hazuiliki la sivyo the Hague lazima ihusike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…