Kwa huko kuzurura kuhutubia kwenye vimiji ndio apate asilimia 80? Hujui asiliimia 80 ya watanzania wanaishi vijijini sio kwenye hivyo mimiji anavyozurura Lisu kuhutubia.Akitoka kamji haka anaenda kamji kale ndio kampeni eti kubwa ya kumpa ushindi hiyo ya town to town?Kagera, iringa Njombe morogoro, katavi mpanda Mwanza geita huko tayari kazi imeisha....
Wanaenda kufunga kazi Mara, arusha, kilimanjaro, dar singida dodoma na Zanzibar....
Tundu Lissu na ushindi wake w 80% hazuiliki la sivyo the Hague lazima ihusike
Huo uwanja mmili ni nani kwanza,na je atapewa kibali?Kama anaubavu wa kumvuruga JPM kwa nini asiende CCM Kirumba ?
Sijui unafikiri kwa kutumia nn mkuuKwa huko kuzurura kuhutubia kwenye vimiji ndio apate asilimia 80? Hujui asiliimia 80 ya watanzania wanaishi vijijini sio kwenye hivyo mimiji anavyozurura Lisu kuhutubia.Akitoka kamji haka anaenda kamji kale ndio kampeni hiyo ya town to town? Hapo hajafikia hata asilimia kumi ya wapiga kura labda hapo kafika asilimia tano tu
Aliwatimua wafanyakazi kwa kiwafukarisha kwa kisingizio cha vyeti fake na yeye tunajua Hana vyeti wacha tumpumzishe28/10/2020 mapema kabisa saa 10 alfajiri, nitakwenda kupanga foleni kusubiria OFISI zifunguliwe, nipige kura, ili nimpangie kazi nyingine mwajiriwa wa 2015.
Amezoea kupangua na kuwaambia wenzake kwa makaratasi ya press release kuwa atapangiwa kazi nyingine na kuwatukana mbele ya camera zijulikanazo kama mubashara.
Mwaka huu kura yangu Ni ya kumpangia kazi nyingine mbele ya chemba ya peke yangu, kisha barua yangu ya kumfuta kazi naidumbukiza kwenye sanduku la kura.
Huku kusini na kwingineko Lissu ameshashinda..kazi ni huko nyumbani kwa Magu..atapigwa mpaka achakaeRepetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!
Chadema kulikoni?
Hayo tumwachie alie ziumba mbingu na nchi.... na kama unajua hayo kwanini utese au kuua wenzio? Kwamba wewe muuwaji hutakufa au? Sote ni binadamu lazima kuheshimu uhai wa wengine!
Yaani hizo sehemu anatakiwa apige kambi mpaka kieleweke, maana kuna wapiga kura wengi sana!Kagera hamna shida mkuu mambo ni safi ila hizo sehemu zingine ulizotaja
Ameiba iba vipi hizo pesa za madini na maeneo gani wakati yeye alikuwa Mkuu wa Moa wa Manyara? Tujuze tafadhaliUkiwa Misungwi, ukumbuke Mnyeti mtoto wa dada yake na JPM. Ametuibia fedha nyingi sana za madini na kuweza kujenga uwanja wake wa michezo misungwi na anenunua timu yake ya michexo. Tumeibiwa Sana na huu uko.
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!
Chadema kulikoni?
Frank Wanjiru soma hapa ..Alirudi for the 2nd tym jumapili kuweka upepo sawa .bas matangazo kala yote ..na jumapili hiyo hiuo chadema wakawa wanakampeni zao hapo hapo Musoma mjini ..kifupi Majaliwa amefunga saa10 hakuna mtu! Nyomi lilolokuwepo chadema sasa .mitaa yote ilitema...imagine mtu unakosa kbs watu ..alitia huruma .wakamwambia hii ndo Musoma Bora ungebeba tu mkeo uje uspend naye huku kuliko utopolo wako huko ..alafu watu wanahasira utadhani Kuna mauaji yalitokea๐๐!
Jazba unazomuanaga nazo Heche ndo wanamusoma wako hivyo pia๐๐๐๐! Nawaza kuhamia huko mazima nikaliwaze nafsi yangu
Frank Wanjiru soma hapa ..Alirudi for the 2nd tym jumapili kuweka upepo sawa .bas matangazo kala yote ..na jumapili hiyo hiuo chadema wakawa wanakampeni zao hapo hapo Musoma mjini ..kifupi Majaliwa amefunga saa10 hakuna mtu! Nyomi lilolokuwepo chadema sasa .mitaa yote ilitema...imagine mtu unakosa kbs watu ..alitia huruma .wakamwambia hii ndo Musoma Bora ungebeba tu mkeo uje uspend naye huku kuliko utopolo wako huko ..alafu watu wanahasira utadhani Kuna mauaji yalitokea๐๐!
Jazba unazomuanaga nazo Heche ndo wanamusoma wako hivyo pia๐๐๐๐! Nawaza kuhamia huko mazima nikaliwaze nafsi yangu
... ungeongea hivi tangu mwanzo wala hapakuwa na ulazima wa mjadala. Mungu ndiye mwenye kutoa uhai na ndiye mwenye haki ya kuutwaa.Hayo tumwachie alie ziumba mbingu na nchi.
Mkoa wa manyara ndipo ilipo wilaya ya simanjiro, na mererani ipo wilaya ya simanjiro kuliko na machimbo ya tanzanite.ugomvi alio kuwa nao na james ole milya Hadi walataka kupishana ni ugomvi wa mnyeti kutaka kushirikiana na wachimbaji kuiba madini.mnyeti alikuwa anadhirikiana na wachimbaji wakubwa kukwepa Kodi huko mererani.yule ni ndg wa karibu na JPM na alikuwa haogopi kuiba.Ameiba iba vipi hizo pesa za madini na maeneo gani wakati yeye alikuwa Mkuu wa Moa wa Manyara? Tujuze tafadhali
๐... ungeongea hivi tangu mwanzo wala hapakuwa na ulazima wa mjadala. Mungu ndiye mwenye kutoa uhai na ndiye mwenye haki ya kuutwaa.
Wala hakuna shida. Kwangu mimi hata akiamua kuishi Mwanza poa tu, Ila Urais HAPATI!Viwanja vya sifa vpo mtaa gani apa Mwanza?. Magufuli kupta Tabora Singida nisawa ila Lissu ndio tatzo eee?Tulia tu ndugu yangu elfu2015 Sasa Kanda yaziwa ndio tulimuokoa ila Sasa hakuna namna tutamnyoosha tu.acha tuzd pewa sera.....ondoa wivu maana nao niuchaw pia
Furahisha ni jimbo la Nyamagana? Acha ukilaza.Sasa uzinduzi wa kanda aliufanyia mwanza mjini hapo hapo lilipo jimbo LA Nyamagana na Leo anarudi exactly hapo hapo hiyo kiboko ha ha ha
Safisha safisha taka taka za Mizoga iloachwa na Mafisiccm.Ana pita kufagia alimo pita Majaliwa jana
Niliota ndoto jana kuwa MAWAKALA wa Chadema wamewekewa mizengwe mikali na kuenguliwa wasisimamie zoezi la kusimamia upigaji kura. Comrade Mnyika mmejiandaaje na hilo????Kumbe ni kutokana na macho yako binafsi..
Na mimi binafsi naona Lissu na Maalimu Seif watashinda kwa 90% each....
Magufuli anapata 2% na kurudi kwao Chato empty handed!
Haya,na mimi utasemaje hapo?