YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kwa huko kuzurura kuhutubia kwenye vimiji ndio apate asilimia 80? Hujui asiliimia 80 ya watanzania wanaishi vijijini sio kwenye hivyo mimiji anavyozurura Lisu kuhutubia.Akitoka kamji haka anaenda kamji kale ndio kampeni eti kubwa ya kumpa ushindi hiyo ya town to town?Kagera, iringa Njombe morogoro, katavi mpanda Mwanza geita huko tayari kazi imeisha....
Wanaenda kufunga kazi Mara, arusha, kilimanjaro, dar singida dodoma na Zanzibar....
Tundu Lissu na ushindi wake w 80% hazuiliki la sivyo the Hague lazima ihusike
Kuzurura kote Hapo hajafikia hata asilimia kumi ya wapiga kura labda hapo kafika asilimia tano tu