Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Kagera, iringa Njombe morogoro, katavi mpanda Mwanza geita huko tayari kazi imeisha....
Wanaenda kufunga kazi Mara, arusha, kilimanjaro, dar singida dodoma na Zanzibar....
Tundu Lissu na ushindi wake w 80% hazuiliki la sivyo the Hague lazima ihusike
Kwa huko kuzurura kuhutubia kwenye vimiji ndio apate asilimia 80? Hujui asiliimia 80 ya watanzania wanaishi vijijini sio kwenye hivyo mimiji anavyozurura Lisu kuhutubia.Akitoka kamji haka anaenda kamji kale ndio kampeni eti kubwa ya kumpa ushindi hiyo ya town to town?

Kuzurura kote Hapo hajafikia hata asilimia kumi ya wapiga kura labda hapo kafika asilimia tano tu
 
Kwa huko kuzurura kuhutubia kwenye vimiji ndio apate asilimia 80? Hujui asiliimia 80 ya watanzania wanaishi vijijini sio kwenye hivyo mimiji anavyozurura Lisu kuhutubia.Akitoka kamji haka anaenda kamji kale ndio kampeni hiyo ya town to town? Hapo hajafikia hata asilimia kumi ya wapiga kura labda hapo kafika asilimia tano tu
Sijui unafikiri kwa kutumia nn mkuu
 
28/10/2020 mapema kabisa saa 10 alfajiri, nitakwenda kupanga foleni kusubiria OFISI zifunguliwe, nipige kura, ili nimpangie kazi nyingine mwajiriwa wa 2015.

Amezoea kupangua na kuwaambia wenzake kwa makaratasi ya press release kuwa atapangiwa kazi nyingine na kuwatukana mbele ya camera zijulikanazo kama mubashara.

Mwaka huu kura yangu Ni ya kumpangia kazi nyingine mbele ya chemba ya peke yangu, kisha barua yangu ya kumfuta kazi naidumbukiza kwenye sanduku la kura.
Aliwatimua wafanyakazi kwa kiwafukarisha kwa kisingizio cha vyeti fake na yeye tunajua Hana vyeti wacha tumpumzishe
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Huku kusini na kwingineko Lissu ameshashinda..kazi ni huko nyumbani kwa Magu..atapigwa mpaka achakae
 
... na kama unajua hayo kwanini utese au kuua wenzio? Kwamba wewe muuwaji hutakufa au? Sote ni binadamu lazima kuheshimu uhai wa wengine!
Hayo tumwachie alie ziumba mbingu na nchi.
 
Hapana nimeshindwa kuvumilia nitatembea na msafara mpaka Arusha nikasikilize nondo live kote huko. Nilitoka naye Katoro sasa niko naye Mwanza huyu jamaa.
Sikuwa na mpango wa kupiga kura ila mpaka nitakapofika Arusha nitakuwa na jambo langu tayari.
Hivi singida ni lini tena?
 
Ukiwa Misungwi, ukumbuke Mnyeti mtoto wa dada yake na JPM. Ametuibia fedha nyingi sana za madini na kuweza kujenga uwanja wake wa michezo misungwi na anenunua timu yake ya michexo. Tumeibiwa Sana na huu uko.
Ameiba iba vipi hizo pesa za madini na maeneo gani wakati yeye alikuwa Mkuu wa Moa wa Manyara? Tujuze tafadhali
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?

Ila Hidaya unajitahidi Bibie, acha tu....

Unatumia kila njia kuhakikisha Jiwe haliyeyuki....

Ndiyo hivyo, usiyemtaka yupo Mwanza tena leo....

Wewe kama umekasirika kwa sababu hii, kasirika tu mpaka upasuke...!
 
Alirudi for the 2nd tym jumapili kuweka upepo sawa .bas matangazo kala yote ..na jumapili hiyo hiuo chadema wakawa wanakampeni zao hapo hapo Musoma mjini ..kifupi Majaliwa amefunga saa10 hakuna mtu! Nyomi lilolokuwepo chadema sasa .mitaa yote ilitema...imagine mtu unakosa kbs watu ..alitia huruma .wakamwambia hii ndo Musoma Bora ungebeba tu mkeo uje uspend naye huku kuliko utopolo wako huko ..alafu watu wanahasira utadhani Kuna mauaji yalitokea😀😀!
Jazba unazomuanaga nazo Heche ndo wanamusoma wako hivyo pia😀😀🙌🙌! Nawaza kuhamia huko mazima nikaliwaze nafsi yangu
Frank Wanjiru soma hapa ..
Hawa wavuvi kma mnakumbuka wamechomewa Sana nyavu Zao...Sasa kumbe naskia Ile ilikua deal ya wakubwa...zikaletwa nyavu wanaxotak serikali nimesahau vipimo vyao. Sasa ajabu ukawa zinatika Kenya. Yaan ukizitafuta kitaa hupat had uagizie kwa wakala...ajabu mwaka huu serikali imerudisha zile nyavu walizokatwazwa..sasa wanahoji Nani atarudisha gharama zetu za kuchomewa nyavu?? Ndo hasira zao nilopoziona jumapili...uzuri ccm walishaona mapemaaa. Hakukua na Kash kashi .nilikaa had saa9hakuna watu. Wote wako chadema. Njiani wanasema ungekuja na mkeo akupe tu Raha Ila sio kwa wanamusoma...! Kama CCM inajitambua usiende pande hizo ..sijui shirati..sijui bunda kote huku had watoto wanakuambia ni chadema. Sasa leta ngebe za ccm utaona
 
Mkoa wa manyara ndipo ilipo wilaya ya simanjiro, na mererani ipo wilaya ya simanjiro kuliko na machimbo ya tanzanite.ugomvi alio kuwa nao na james ole milya Hadi walataka kupishana ni ugomvi wa mnyeti kutaka kushirikiana na wachimbaji kuiba madini.mnyeti alikuwa anadhirikiana na wachimbaji wakubwa kukwepa Kodi huko mererani.yule ni ndg wa karibu na JPM na alikuwa haogopi kuiba.
 
Viwanja vya sifa vpo mtaa gani apa Mwanza?. Magufuli kupta Tabora Singida nisawa ila Lissu ndio tatzo eee?Tulia tu ndugu yangu elfu2015 Sasa Kanda yaziwa ndio tulimuokoa ila Sasa hakuna namna tutamnyoosha tu.acha tuzd pewa sera.....ondoa wivu maana nao niuchaw pia
Wala hakuna shida. Kwangu mimi hata akiamua kuishi Mwanza poa tu, Ila Urais HAPATI!
 
Kumbe ni kutokana na macho yako binafsi..

Na mimi binafsi naona Lissu na Maalimu Seif watashinda kwa 90% each....

Magufuli anapata 2% na kurudi kwao Chato empty handed!

Haya,na mimi utasemaje hapo?
Niliota ndoto jana kuwa MAWAKALA wa Chadema wamewekewa mizengwe mikali na kuenguliwa wasisimamie zoezi la kusimamia upigaji kura. Comrade Mnyika mmejiandaaje na hilo????
 
Back
Top Bottom