Japhet Karibu
Member
- Feb 27, 2020
- 79
- 129
Na wewe ni mtabiriSiku si nyingi zilizopita nilitoa hoja humu kuwa Lisu asifurahie wingi wa watu kwenye mapokezi na hata kufanya kampeni kabla ya muda eti anatafuta wadhamini atachuja na kuchokwa mapema Wale makamanda walikuja na matusi sasa mnajionea wenyewe makamanda uwanja haujai wameshamzoea Mgombea wenu.
Kazi kwenu maendeleo hayana chama.
Subiri, time is not yet ripe!Kwanza ilani yenu iko wapi?
elimu ya uraia kwanza , then muda bado wa kutosha kutoa sera/ilani ya uchaguziFor sure Lissu anatumia akili sana Ila watu wanambeza kwasababu ya interest zao tu. Kwa sasa aendelee kutoa elimu ya uraia
CC:Pamoja upinzani uhakikishe watanzania wanautazama uchaguzi huu kama referendum Kwa yanayoendelea ikiwezekana watengeneze matangazo ya TV na redio yanayo highlight matukio, vilio vya wakazi wa kimara, wa tetemeko, kauli zisizo za kiuongozi, wahanga wa wasiojulikana, vyombo vya habari na waandishi walioisoma namba, uvunjwaji wa sheria na katiba, utungwaji wa sheria mbovu na mengine. Bila kum implicate mtu wala kumtaja, vyama view huru kuendorse hizi production bila uoga, ikiwezekana na civil society pia. Wasipopata nafasi ya kutangaza haya matangazo kwa paid ads on TV,social media na screen ziwekwe kwenye mikutano ya kampeni. Ieleweke kwamba uchaguzi huu sio kama mingine ya kulinganisha sera na ilani. Na mtu yoyote anayeuliza na ilani safari hii, aidha ameamua kujidanganya au haoni mbali.
Sasa mkuu unamrudishaje mgombea ambae hawezi kujaza hata fomu?Chadema isije kushangaa kwa wakati huu endapo itakuja kukosa wahudhuriaji wa kutosho kwenye mikutano yao hii ni kwa sababu CCM tayari wameshafanyia kazi yale yaliyokuwa mapungufu yote katika utendaji wa serekali ikwa ni pamoja CCM kuongezea mazuri zaidi ambayo yanaonekana dhahiri...
Acheni janja janja chama makini hakiwezi kukosa ilani siku ya uzinduziSubiri, time is not yet ripe!
Acheni janja janja chama makini hakiwezi kukosa ilani siku ya uzinduzi