Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Hakika ukimchagua Lissu umelamba dume. Hutajuta kama ulivyojuta miaka 5 iliyopita.

Huyu ni moja ya watanzania wachache wenye akili nyingi sana wenye mkubwa wa kuibadili kimfumo.

Wale wenye matatizo ya ajira, Kutozwa kodi kubwa kupita kiasi, wenye shida na mikopo vyuo vikuu, wenye vilio na mishahara duni, wanaoozedha mazao yao shamba kwa kukosa bei Muungeni mkono Tundu Lissu mpate kuupumzisha kwa kutua mizigo ya matatizo haya.
 
Sahihi kabisa
 
Kwa CCM kulikimbia jiji la Dar kuzindua kampeni zake za uchaguzi 2020 hakupaswi kuacha tu kupite.

Je,wamekubali kuwa hiyo sasa ni ngome ya upinzani hivyo hawana namna ya kuikomboa?

Hata kama ni kweli ngome ya CDM, strategist wa kampeni za CCM uwezo wake ni mdogo..abadilishwe haraka.

Kwa CHADEMA kuzindua kampeni Dar ni turufu kubwa sana katika kujijenga kwa kampeni huko mikoani.

Namkumbuka Makonda,huyu jamaa angeamsha sana Dar,na pengine angeshawishi kwenda jino kwa jino dhidi ya CDM hapa Dar.

CCM wamekubali yaishe ama wana nini dhidi ya kulikomboa jij la Dar? Muda ndiyo utaamua.
 
Wakubali kushindwa uchaguzi kwa kuzifuata sheria za uchaguzi , kwanza kwa kujiuzulu huyo Dictator Pombe pamoja na Waziri Mkuu wake Majaliwa nchi imeshawashinda wasimwage damu.
 
Tunangojea picha na updates, wengine leo hatuko huko mjini.
 
Kama mnafanya kampeni zenu ndani ya Tanzania kuingiliwa muhimu. Hamuwezi kufanya tu vile mnavyotaka sheria, kanuni na taratibu lazima zifuatwe sio ombi
Watia huruma. Hakuna unaemtisha. SASA BASI.
 
Mods acheni upumbavu.. hii maada unaunganisha vipi. Ama nyie mnaelewaje..muwe mnakuja pm kupata maelezo zaidi kama hamjaelewa.

CDM kuzindua kampeni DAR na CCM dodoma... what is the motive behind? Kuna chama kinaihanya dar sasa wameamua kukimbia, nyie mnaunganisha na habar za matukio ya kampeni. Pumbafu kabisa wewe mod. Uache uccm wako kuuleta hapa.
Kwa CCM kulikimbia jiji la Dar kuzindua kampeni zake za uchaguzi 2020 hakupaswi kuacha tu kupite.

Je,wamekubali kuwa hiyo sasa ni ngome ya upinzani hivyo hawana namna ya kuikomboa?

Hata kama ni kweli ngome ya CDM, strategist wa kampeni za CCM uwezo wake ni mdogo..abadilishwe haraka...
 
Ni wazi kazi ya kuchukua dola yoyote siyo jambo rahisi kama wengi wanavyodhani, maandiko matakatifu yako wazi kabisa kila utawala unawekwa na MUNGU haijalishi kiuhalali au kiharamu maana ukiona Chama kinachukua dola kwa haramu basi ujue Mungu hajaona mpinzani aliye na uwezo wa kushika dola hiyo kwa wakati huo.

Hivyo, vyama vya upinzani mjipange kwa hali ya juu. Kubeba dola siyo kazi nyepesi narudia tena kubeba dola si kazi nyepesi upinzani Tanzania kazi si ndogo mliyonayo katika ndoto ya kubeba dola.
 
Ujinga kabisa.kwahiyo siasa zinakutoa fahamu kiasi Cha kumnasibisha Mungu na haramu?... Una akili wewe?
 
Back
Top Bottom