Naona kila siku naanza kubadili misimamo yangu, hata wanaccm wenzangu naona wameanza kunishangaa ju ya misimamo yangu.

Kiukweli hotuba za lissu zinashawishi sana, nawashauri wanaccm wenzangu kutozifuatilia, unaweza ukaamua kukipigia kura cdm bure, hotuba za lissu tukiziona mitandaoni tuzipite tu, Mimi mwenzenu kama si kushtuka mapema, nilikuwa napotea kabisa katika maamuzi ya oktoba 28
 
Naona kila siku naanza kubadili misimamo yangu, hata wanaccm wenzangu naona wameanza kunishangaa ju ya misimamo yangu.

Kiukweli hotuba za lissu zinashawishi sana, nawashauri wanaccm wenzangu kutozifuatilia, unaweza ukaamua kukipigia kura cdm bure
Hasa katika mafao ya wazee.
 
Naona kila siku naanza kubadili misimamo yangu, hata wanaccm wenzangu naona wameanza kunishangaa ju ya misimamo yangu.

Kiukweli hotuba za lissu zinashawishi sana, nawashauri wanaccm wenzangu kutozifuatilia, unaweza ukaamua kukipigia kura cdm bure

Mimi mpaka sasa 'nahangaika' kutaka kuwaomba NEC wanipe 'Upendeleo' ulio 'Maalum' tu ili niwapigie wote Wawili Magufuli na Lissu nitashukuru.
 
Unajaza Server bure tu
 
Mzee wa kufoka foka kajifungia Dodoma huko analia lia tuu wakat alitwambia Chadema imekufa mamaaae. Mwaka huu tupo tayar kulinda uhuru wetu hao majambazi ya Burundi yarudi kwao.
 
Unajaza Server bure tu
Kama unavyojaza JF kwa picha za kudurufu.

Awali nimekwambia weka Sera hapa tujadili ukaruka urefu wa mita 10.

Wapiga kura hawachagui nyomi huchagua kiongozi mwenye uwezo na nia ya dhati ya kuwaondolea kero zao.

Nitoe mfano wa wewe na mimi uhuru wa kutumia mitandao yq kijamii. Najiuliza, hali ya sasa jhovi ikoje na mgombea ananipa ahadi gani? Najiuliza, yeye kama yeye ana sifa gani za kuaminika kwa hilo? Je, vjana chake kina Sera gani kuhusu hilo?

Usilolijua ni nani mimi Tarehe 28/10/2020 nitampa kura yangu hata kama humu JF nilionesha kushabikia mgombea fulani.
 
Milioni Hamsini kwa kila kijiji teh teh teh....
 
Sasa hivi amekuwa kama mpga debe wa stendi, anatukana huyooo mbele ya vyombo vya habari
anaumia mipesa yote waliyotumia kuwalipa the so called waunga-juhudi halafu CHADEMA bado tunakinukisha kama zamani. lazima watoe povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…