Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gofu industrial area ni Magofu!CCM wameiua Tanga vibaya sana,nani asie ijuia Tanga just tulipopata uhuru tu,leo ndani ya utawala wa CCM hakuna Tanga kuna matanga,yaani mwaka huu ni sheree kuanzia tarehe 29/10/2020 tunaunganisha na XMASS kabisa.
CCM hawapendi kusikia siri ya ushindi kuwa mwaka huu wanashindwa vibaya sana,kama ninaona makabidhiano Mjeshi anapiga one step anamuwacha Magufuli na kuwepo upande wa Lisu. Vuteni picha furaha ya WaTanzania siku ya sherehe hio.
Kelele zote mwisho tarehe 28 saa kumi jioni.Barua inatakiwa ipelekwe kwa Tundu Lissu binafsi na sio kwa iofisi za chama. Mwaka huu Tundu Lissu atawafundisha hadi mumsalimie Shikamoo!
Sasa kuna spana gani hapo?? Mbona hakuna hoja ya msingi kama hutii sheria utashurutishwa tu, maana hakuna namna.Kanuni wametunga wao halafu wanavunja wenyewe.
View attachment 1585688
Mwalimu wa kufundisha watu juu ya haki ya faragha? Ili wawe wanafanya kinyume na maumbile.Asante mwalim Tundu lissu
... ushoga is part and parcel ya hiyo Katiba yenu msiyotaka iguswe. Kutoingilia faragha za watu kumetajwa ndani ya Katiba Magufuli aliyoapa kuilinda na kuitetea kwa nguvu zote. Anayelinda ushoga nani; anayetetea Katiba inayotambua ushoga au anayetamka waziwazi Katiba iliyopo ni mbovu na ndani ya siku 100 za kwanza ni kuifumua?Baada ya kusema shoga ruksa
Katiba ya JMT inalinda faragha za watu lakini sio ushoga,acha upuuzi.... ushoga is part and parcel ya hiyo Katiba yenu msiyotaka iguswe. Kutoingilia faragha za watu kumetajwa ndani ya Katiba Magufuli aliyoapa kuilinda na kuitetea kwa nguvu zote. Anayelinda ushoga nani; anayetetea Katiba inayotambua ushoga au anayetamka waziwazi Katiba iliyopo ni mbovu na ndani ya siku 100 za kwanza ni kuifumua?
Sio lazima iwe hivyo,inaweza kuwa hivi,anashikiliwa na kikosi Cha makomando katika kambi fulani,wakati huohuo Ni Yeye akiapishwa.CCM hawapendi kusikia siri ya ushindi kuwa mwaka huu wanashindwa vibaya sana,kama ninaona makabidhiano Mjeshi anapiga one step anamuwacha Magufuli na kuwepo upande wa Lisu. Vuteni picha furaha ya WaTanzania siku ya sherehe hio.