Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
CCM wameiua Tanga vibaya sana,nani asie ijuia Tanga just tulipopata uhuru tu,leo ndani ya utawala wa CCM hakuna Tanga kuna matanga,yaani mwaka huu ni sheree kuanzia tarehe 29/10/2020 tunaunganisha na XMASS kabisa.
 
Gofu industrial area ni Magofu!
 
Ufalme wa CCM mwisho tarehe 28 mwezi wa kumi, hivyo ni vizuri wakaanza kufanya mazoezi ya kukabidhi Uongozi mpya wa Tanzania kwa Mheshimiwa Raisi mtarajiwa anaesubiri kuapishwa,Mheshimiwa Tundu Lisu.
 
CCM hawapendi kusikia siri ya ushindi kuwa mwaka huu wanashindwa vibaya sana,kama ninaona makabidhiano Mjeshi anapiga one step anamuwacha Magufuli na kuwepo upande wa Lisu. Vuteni picha furaha ya WaTanzania siku ya sherehe hio.
 
Sherehe hii ni ya aina yake nafikiri itakuwa ya mwanzo kwa Tanzania kushuhudia makabidhiano ya Uraisi kwa Chama kingine.
 
CCM hawapendi kusikia siri ya ushindi kuwa mwaka huu wanashindwa vibaya sana,kama ninaona makabidhiano Mjeshi anapiga one step anamuwacha Magufuli na kuwepo upande wa Lisu. Vuteni picha furaha ya WaTanzania siku ya sherehe hio.

Itakuwa sherehekwa wananchi, ila kutakuwepo na misiba mingi sana kwa watu wa upande wa pili - hasa viongozi. Pressure itawamaliza.
 
Tundu kabisa, awe mkuu subutu yake subilini muone
 
Mkuu tokea uhuru CCM haijawahi kupiga magoti katika kuomba kura.Hii ni dalili kuu kuwa ufalme wa CCM umefika mwisho!
JamiiForums312469786.jpg
 
Kwa mara ya kwanza naenda kupiga kura, na hii kura itakuwa ni special kwa spana tu.
 
Habari za wakati wakuu
Nimekaa nikafikiria nikaona tuzunfumze kdg juu ya Vuguvugu hili la uchaguzi juu ya Mhe tundulissu
Kwa mm ninavyoonelea Lissu amekuwa na mvuto wa ajabu sana kwa wananchi ukilinganisha na mgombea wa chama cha kijani hii ni dhahiri watu wamepata mwamko mpya wa kupiga kura tofauti na hapo mwanzo walikuwa wamekata tamaa kabisa picha za chini hapa zinaonyesha Mhe lissu akinganganiwa ni tofauti na chama cha upande wa pili
Nini maono yako juu ya hali hii mimi naona asilimia 💯 lissu anachukuwa nchi kama kutakuwa ni huru kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20200917-073018.png
    Screenshot_20200917-073018.png
    85.5 KB · Views: 1
  • IMG_20200923_222748.jpg
    IMG_20200923_222748.jpg
    270.5 KB · Views: 1
  • IMG_20200929_203142.jpg
    IMG_20200929_203142.jpg
    256.6 KB · Views: 1
  • IMG_20200929_162722.jpg
    IMG_20200929_162722.jpg
    115.5 KB · Views: 1
Baada ya kusema shoga ruksa
... ushoga is part and parcel ya hiyo Katiba yenu msiyotaka iguswe. Kutoingilia faragha za watu kumetajwa ndani ya Katiba Magufuli aliyoapa kuilinda na kuitetea kwa nguvu zote. Anayelinda ushoga nani; anayetetea Katiba inayotambua ushoga au anayetamka waziwazi Katiba iliyopo ni mbovu na ndani ya siku 100 za kwanza ni kuifumua?
 
Katiba ya JMT inalinda faragha za watu lakini sio ushoga,acha upuuzi.
 
Sio
CCM hawapendi kusikia siri ya ushindi kuwa mwaka huu wanashindwa vibaya sana,kama ninaona makabidhiano Mjeshi anapiga one step anamuwacha Magufuli na kuwepo upande wa Lisu. Vuteni picha furaha ya WaTanzania siku ya sherehe hio.
Sio lazima iwe hivyo,inaweza kuwa hivi,anashikiliwa na kikosi Cha makomando katika kambi fulani,wakati huohuo Ni Yeye akiapishwa.
 
Back
Top Bottom