Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Mahali pa mtu asiyejaribiwa kupiga magoti ujue Lissu kakaza nati balaa Mpaka kachomelea ndio wanahangaika kujifungua kwa magoti.

IMG_20200930_190219.jpg
IMG_20200930_083847.jpg
IMG_20200930_083838.jpg
IMG_20200930_083832.jpg
IMG_20200930_083824.jpg
 
Kashiba safari hii uchaguzi wa 2015 alikuwa akipiga pushup tu kitumbo kimetoka sasahivi anapiga magoti.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Saalam!

Nilikuwa sehemu fulani morogoro manispaa, Nikauliza juu ya uchaguzi mkuu mwaka huu...
CCM haitetereki ki rahisi hivyo, wanawajaza tuu "they playing you on your own game" subirini matokeo ya uchaguzi, ndio maana wenye akili washajua rais ni nani, na hata humu kwenye mitandao huwaoni CCM wamejazana kama Chadewma, wapo kimya wanawachora, raia wengi wenye akili pia wanajua nini kinachoendelea ndio maana wapo kimya mkoa kama DSM watu hawana time na nyie, endeleni kupiga kura tweeter na facebook.
 
Tuambie kwanini wadhani hawezi kupata hata diwani?
When you say something come up with supportive facts na sio maneno tu
Hivi hata wewe mwenyewee kwa matamshi yale na majaziba yake, unamuona anafanana na mtu anaeweza kuwa raisi wa inchi??
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili so kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lisu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana
Mwaka huu mtakula majani makavu
 
Back
Top Bottom