Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mahali pa mtu asiyejaribiwa kupiga magoti ujue Lissu kakaza nati balaa Mpaka kachomelea ndio wanahangaika kujifungua kwa magoti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo lisu wenu akipata ata diwani mumoja. Atakua ameshinda uchaguzii mkuu.
Mh. Pombe anajifanyaga mwamba sana hadi akajiita jiWE.. kumbe ni mlaini kabisa. Kupiga magoti huku si mchezo!
Huo ndio utakuwa chanzo cha mfarakano mkubwa ufipani.Safari hii viogozi wakuu wa cdm ule mradi wao wakukata mishahara ya wabunge utakufa kifo cha mende, chali.
CCM haitetereki ki rahisi hivyo, wanawajaza tuu "they playing you on your own game" subirini matokeo ya uchaguzi, ndio maana wenye akili washajua rais ni nani, na hata humu kwenye mitandao huwaoni CCM wamejazana kama Chadewma, wapo kimya wanawachora, raia wengi wenye akili pia wanajua nini kinachoendelea ndio maana wapo kimya mkoa kama DSM watu hawana time na nyie, endeleni kupiga kura tweeter na facebook.Saalam!
Nilikuwa sehemu fulani morogoro manispaa, Nikauliza juu ya uchaguzi mkuu mwaka huu...
Hehehee wanatapatapa.Saalam!
Nilikuwa sehemu fulani morogoro manispaa, Nikauliza juu ya uchaguzi mkuu mwaka huu...
Tuambie kwanini wadhani hawezi kupata hata diwani?Huyo lisu wenu akipata ata diwani mumoja. Atakua ameshinda uchaguzii mkuu.
Hivi hata wewe mwenyewee kwa matamshi yale na majaziba yake, unamuona anafanana na mtu anaeweza kuwa raisi wa inchi??Tuambie kwanini wadhani hawezi kupata hata diwani?
When you say something come up with supportive facts na sio maneno tu
Mwaka huu mtakula majani makavuWanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura
Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana
Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno
Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo
Pili so kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura
Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.
Tafsiri ingine ni kuwa Lisu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana