Haya ni maoni au utafiti?
 
1. Hii tafiti umefanyia wapi?
2. Ile kauli ya CDM wanaedit picha mmeifuta na kwa hiyo sasa hivi mnakiri 'wanafurika'?[emoji116][emoji116]
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Hii age group ipo kwenye range ya kupiga kura kwa hiyo ni mtaji sana kwake.[emoji116][emoji116]
Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wanaenda kama burudani?!
Kuna burudani gani kwenye mikutano ya Lissu? Kama hoja yako ingekuwa na mashiko, kundi hilo (20-23yrs) lingejaa kwa Meko anayezurura na wasanii kama fiesta.[emoji116][emoji116]
Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Hebu toa maoni kuhusu makundi haya kwenye kampeni za Meko, je ni wapiga kura?[emoji116][emoji116]

 

Attachments

  • tapatalk_1601388886353.jpeg
    112.6 KB · Views: 1
na sasa wana vichinjio




mtajuta kuwafahamu maana hadi leo hawana ajira
 
Hawa hapa ndiyo wazee na watu wazima?[emoji116]

View attachment 1586438
 
Detective J, huyu kama siyo Magufuli ni Polepole au Doto James. Fuatilia threads zake utagundua hali aliyo nayo. His threads are completely out of panic. Aendelee kupambana tu....
 
Hii ilikua mwaka 1979 huyo mama hapo akifurahia jeshi la Tz kurudi salama nyumbanì baada ya kua limemchapa Idd Amin.
 
Chukua video yoyote ya mikutano ya Lisu utaona ni boys meeting wavulana ndio wanafurika
Hawa ndio watu wazima wapiga kura wa ccm wanaoachishwa masomo ili kujaza viwanja kuhadaa watz
 
Ukianza shabikia ccm na akili zinakukimbia hapohapo
 
Vijana wana nguvu za kutembea umbali mrefu, kumbuka kwa Lissu hakuna matrekta au malori ya mchanga kubeba watu
 
Ok sawa,

wanao jaza nyomi la magu Ni wanafunzi wa shule ambao hawapigi kura
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…