DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Keep consoling yourself Bro...CCM will always be ahead of any political party in this country.
JPM is going to win this election on October 28, Keep your eyes open.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Your wish wont happen, I know even Lissu understand that Magufuli is going to win with high margin.Jpm must go now we are going to choose God fearing person and not dictator keep ur eyes up.
Your wish wont happen, I know even Lissu understand that Magufuli is going to win with high margin.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
JPM himself revealed he will win coming elections whether people vote for him or not! No wonder as he controls the NEC and can chose any victory level, unfortunately you walk behind him with no moral sense at all.Keep consoling yourself Bro...CCM will always be ahead of any political party in this country.
JPM is going to win this election on October 28, Keep your eyes open.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Am not lying, let us wait and see.Chonka nobeiya.
When did he say that? CCM have great chance of winning this election due to the best development records in the past five years...Magufuli has done tremendous work that no one in Chadema can do.JPM himself revealed he will win coming elections whether people vote for hime or not! No wonder as he controls the NEC and can chose any victory level, unfortunately you walk behind him with no moral sense at all.
If that importance is very visible to Administrators such as NEC for the benefit of the country then they should let a free and fair play to take place. We all know they are worrying of the consequences that may arisw from a different leader. But we wish to assuare them bo bot will be harrassed foe wrongdoing while implementing national duties.Ten years consecutively from 2020-2030 our country should under strong leader the man of fortune Tundulissu .
As well I urging after Tundulissu elected , We can carrying out constitution amending to allow Tundulissu to rule our country forever like China .
Assassination of Akwilina.When did he say that? CCM have great chance of winning this election due to the best development records in the past five years...Magufuli has done tremendous work that no one in Chadema can do.
Let us be fair Magufuli has done good work and we have to offer him another 5 years.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
If Magufuli was truly confident of his good works, he wouldn't have disgraced himself in Njombe when he went public on his knees! Everyone understood what that gesture meant; a desperate contender relying on the mercy of the voters.When did he say that? CCM have great chance of winning this election due to the best development records in the past five years...Magufuli has done tremendous work that no one in Chadema can do.
Let us be fair Magufuli has done good work and we have to offer him another 5 years.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
First do you know how to use the word Assassination?Assassination of Akwilina.
Influx of massive unemployment*
Assassination attempt to opposition figure Tundulissu*
kidnapped which occurs in five yrs
Sioni tofauti yako wewe na Lissu. Maana wakati Lissu anapinga kila kitu kilichofanywa na Mh. Rais nawewe umeamua kusifia kila kitu.Dhana mbaya kuliko zote ni kuona mambo mazuri aliyoyafanya mtu, ukajitia upofu na kuwaamnisha watu wengine kwamba hakuna kinachoonekana.
Mbunge wa Bunda Esther Bulaya aliwahi kulalamikia huduma mbaya ya Air Tanzania alipoipanda kutoka Mwanza mpaka Dar Es Salaam. Hapa kinachoshangaza sio ubovu wa huduma, ni mtu aliyepinga ununuzi wa ndege pamoja na wenzake alipata wapi ujasiri wa kulipia ndege na kuipanda, akafika salama na bado akapata nafasi ya kukosoa huduma.
Kwenye kampeni wabunge wa CHADEMA pamoja na mgombea wao wa urais, Tundu Lissu bado wanawahadaa wananchi kwamba hakuna kinachofanyika na juzi wamekuwa wa kwanza kupita barabara ya juu iliyofunguliwa hili wakakosoe ujenzi.
Kusema kweli kama Lissu ataendelea na kauli za namna hii, kupinga kila kilichofanywa na Rais Magufuli basi atafute kazi nyingine hata uanasheria haumfai maana kutetea watu inakuhitaji kwanza kutambua umuhimu wao.
Najiuliza sana kama Magufuli asingemvimbia kirusi Corona, Lissu angeingiaje nchini. Hilo peke yake linatosha kabisa kumfanya Lissu amshukuru Magufuli. Najua angeendelea kurukaruka nchi tofauti akiichafua serikali yetu, taifa letu na rais wetu. Baada ya uchafu wote ulioueneza, kulipaka matope taifa letu na kuwafanya watanzani wote tuonekane wabaya, unataka kuwa rais wetu!!!!
Pamoja kwamba Tanzania ni huru na kila mwananchi ana uhuru wa kuongea chochote anachojisikia, tuwe na aibu na tumuogope Mungu hasa unapojua ukweli na bado ukakasa mishipa ya shingo kusema uongo.
Kwamsingi huo yupo tayari kusema Tanzania siyo baba yangu Wala mama yangu... Akapimwe akiliDhana mbaya kuliko zote ni kuona mambo mazuri aliyoyafanya mtu, ukajitia upofu na kuwaamnisha watu wengine kwamba hakuna kinachoonekana.
Mbunge wa Bunda Esther Bulaya aliwahi kulalamikia huduma mbaya ya Air Tanzania alipoipanda kutoka Mwanza mpaka Dar Es Salaam. Hapa kinachoshangaza sio ubovu wa huduma, ni mtu aliyepinga ununuzi wa ndege pamoja na wenzake alipata wapi ujasiri wa kulipia ndege na kuipanda, akafika salama na bado akapata nafasi ya kukosoa huduma.
Kwenye kampeni wabunge wa CHADEMA pamoja na mgombea wao wa urais, Tundu Lissu bado wanawahadaa wananchi kwamba hakuna kinachofanyika na juzi wamekuwa wa kwanza kupita barabara ya juu iliyofunguliwa hili wakakosoe ujenzi.
Kusema kweli kama Lissu ataendelea na kauli za namna hii, kupinga kila kilichofanywa na Rais Magufuli basi atafute kazi nyingine hata uanasheria haumfai maana kutetea watu inakuhitaji kwanza kutambua umuhimu wao.
Najiuliza sana kama Magufuli asingemvimbia kirusi Corona, Lissu angeingiaje nchini. Hilo peke yake linatosha kabisa kumfanya Lissu amshukuru Magufuli. Najua angeendelea kurukaruka nchi tofauti akiichafua serikali yetu, taifa letu na rais wetu. Baada ya uchafu wote ulioueneza, kulipaka matope taifa letu na kuwafanya watanzani wote tuonekane wabaya, unataka kuwa rais wetu!!!!
Pamoja kwamba Tanzania ni huru na kila mwananchi ana uhuru wa kuongea chochote anachojisikia, tuwe na aibu na tumuogope Mungu hasa unapojua ukweli na bado ukakasa mishipa ya shingo kusema uongo.
Hicho kiumbe lissu kinapaswa kudharauliwa kutoka pande zote nne.Unajua shetani anaweza kuwajia wanaadamu kwa njia nyingi na saa nyingine anawajia kama binaaadam.Unaweza kukuta huyu siyo Lissu bali amaletwa kama Lissu ili kuiangamiza nchi.labda Lissu mwenyewe ambaye mtanzania yupo mahali na anaitakia heri na amani nch yake.Dhana mbaya kuliko zote ni kuona mambo mazuri aliyoyafanya mtu, ukajitia upofu na kuwaamnisha watu wengine kwamba hakuna kinachoonekana.