Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Tukirudia kosa Tena tumekwiishaa,naona trh 28 ni mbali iwe hata kesho watz tushaamua Jambo letu#NiYeye2020 tusifanye makosa hata chembe
Kama miundombinu ya hilo jiji imeanza kusumbua wakati wa huyu Jamaa basi anastahili lawama lkn Kama ilianza awamu zilizopita basi jueni ni tatizo la kurithi!... Kitu kimoja tu hakitoshi kufanya achaguliwe mtu fulani! Kila changamoto jicho linaangukia kwa kiongozi mkuu! Vipi mipango miji..? Vipi na wale wanaojenga kwenye mabonde hata wakiambiwa hawasikii..?
Sidhani Kama hivyo tu kunajitosheleza na kwa mantiki hiyo basi kila atakaeingia madarakani likitokea tatizo tu,Basi mtasema vivyohivyo tumchague fulani!.. na swala si kumchagua fulani swala ni kukidhi hapo ndo panapostahili jawabu.
Ungeliandika, mpigeni mawe
Nlmashabiki wa lisu walegeeShindwaaa...
Tunaomba kura zenu. Tumejenga uwanja wa ndege Chato. Sasa tutawasikiliza wanawake weupe.Hello JF
Poleni na mvua...
Katika swala lililomuacha peupe Raisi na serikali yake ya awamu ya tano ni hili la mvua...
Mimi sio engineer ila kulitakiwa kuwe na proper channels/sewage system na hayo maji yakawa directed properly....
Sasa inashangaza unaanza na ma fly over wakati huku chini hujaweka miundo mbinu mizuri, mbona haihitaji akili kuona hapana..flyover sio important kama sewage system!!!????
Mpigieni kura Lissu, he knows how to prioritize things (My guess, msinipopoe)
Becky
Tunaomba kura zenu. Tumejenga uwanja wa ndege Chato. Sasa tutawasikiliza wanawake weupe.