Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Tulipokuwa darasa la Kwanza..

Mara nyingi tukitoka shuleni muda wa saa tano kurudi nyumbani Ngumi njiani zilikuwa kama JADI.

Sasa ukiona mwenzako wakati wa kupigana anakimbilia kubeba MAWE au Kukuuma kwa meno ujuwe TAYARI..hivyo hivyo hata kwenye SIASA falsafavitendo kama hizi ZIPO
 
Hello JF

Poleni na mvua...

Katika swala lililomuacha peupe Raisi na serikali yake ya awamu ya tano ni hili la mvua.

Mimi sio engineer ila kulitakiwa kuwe na proper channels/sewage system na hayo maji yakawa directed properly.

Sasa inashangaza unaanza na ma fly over wakati huku chini hujaweka miundo mbinu mizuri, mbona haihitaji akili kuona hapana..flyover sio important kama sewage system?

Mpigieni kura Lissu, he knows how to prioritize things (My guess, msinipopoe)

Becky
 
Kumpigia Lissu hilo hakuna mjadala.

Hayupo wa kupopoa mawe. Mbona kupopoa siyo haki miliki ya upande fulani peke yao?

Kistaarabu tu tuinasubiri hiyo ligi ya kupopoana rasmi kabisa.

Kuvumilia kwetu miaka 60 msidhani hatuna ubavu.
 
Kama miundombinu ya hilo jiji imeanza kusumbua wakati wa huyu Jamaa basi anastahili lawama lkn Kama ilianza awamu zilizopita basi jueni ni tatizo la kurithi!.

Kitu kimoja tu hakitoshi kufanya achaguliwe mtu fulani! Kila changamoto jicho linaangukia kwa kiongozi mkuu! Vipi mipango miji..? Vipi na wale wanaojenga kwenye mabonde hata wakiambiwa hawasikii?

Sidhani Kama hivyo tu kunajitosheleza na kwa mantiki hiyo basi kila atakaeingia madarakani likitokea tatizo tu,Basi mtasema vivyohivyo tumchague fulani!.. na swala si kumchagua fulani swala ni kukidhi hapo ndo panapostahili jawabu.
 
Kama miundombinu ya hilo jiji imeanza kusumbua wakati wa huyu Jamaa basi anastahili lawama lkn Kama ilianza awamu zilizopita basi jueni ni tatizo la kurithi!... Kitu kimoja tu hakitoshi kufanya achaguliwe mtu fulani! Kila changamoto jicho linaangukia kwa kiongozi mkuu! Vipi mipango miji..? Vipi na wale wanaojenga kwenye mabonde hata wakiambiwa hawasikii..?

Sidhani Kama hivyo tu kunajitosheleza na kwa mantiki hiyo basi kila atakaeingia madarakani likitokea tatizo tu,Basi mtasema vivyohivyo tumchague fulani!.. na swala si kumchagua fulani swala ni kukidhi hapo ndo panapostahili jawabu.

Mnhhh eti la kurithi, kabisaaa??!!!. wewe tufanye umechaguliwa leo utaanza na nini? Fly over ama sewage system, nijibu ukweli wako..lol
 
Hello JF

Poleni na mvua...

Katika swala lililomuacha peupe Raisi na serikali yake ya awamu ya tano ni hili la mvua...

Mimi sio engineer ila kulitakiwa kuwe na proper channels/sewage system na hayo maji yakawa directed properly....

Sasa inashangaza unaanza na ma fly over wakati huku chini hujaweka miundo mbinu mizuri, mbona haihitaji akili kuona hapana..flyover sio important kama sewage system!!!????

Mpigieni kura Lissu, he knows how to prioritize things (My guess, msinipopoe)

Becky
Tunaomba kura zenu. Tumejenga uwanja wa ndege Chato. Sasa tutawasikiliza wanawake weupe.
 
Kuhusu sewage system upo sahihi kabisa.

But anaye stahiki kura kwa wingi ni JPM kwasababu yeye ndiye anasera za maendeleo ya vitu pamoja na watu.

JPM amepata kiti cha urais, huku inchi ikiwa kwenye hali mbaya kwa kila idara, tangu 2015 amekuwa akiijenga inchi upya hivyo basi, suala la sewage system lipo kwenye mpango tayari.

Serikali imeanza kujengea mifereji mikubwa ya maji iliypo ili iweze kumudu maji ya mvua na kuepusha mafuriko.

Tayari mfereji mkubwa umaopita Tandale ushaanza kujengwa, na kutokana na wingi wa mifereji hiyo hususani jijini Dar es salaam, kuna mifereji kama Mto msimbazi, Kigogo , na mingine mingi itakuwa imemalizwa kujengwa ndani ya miaka 5 ya JPM [2020-2025].

JPM oyeeeee
 
Back
Top Bottom