Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
kujaza nyomi sio ishu sana siku hizi kila mgombea anaweza kujaza nyomi kwa njia yake wagombea wengine wataleta wasanii kujaza nyomi Ila chadema inajazwa nyomi watu wanafuata sera pia hotuba mgombea zinaangaliwa zaidi mitandaoniNilifikiri unatuletea picha za Segerea kumbe Kariakoo!! Segerea vipi au mnaendelea kutengeneza picha baadae mtuletee kwamba kulikuwa na nyomii ya kufa mtu?
Kwa majukwaa yale ya vigodoro wataweza wapi kulipia matangazo kwenye TV, Lissu alikuwa anaropoka tu huko kwa mabeberu ila maandalizi zero.Mwanahabari Huru please take note of this. Tengeneza documentary ya video ya haya yaliyotajwa humu, iweke kwenye screens wakati wa kampeni watu wajikumbshe maumivu waliyoyapata. This will make a lot of sense! Mabango, etc etc kama yalivyotajwa humu.
Sina ugomvi na wewe, ila ULAANIWE wewe na uzao wako!Kwa majukwaa yale ya vigodoro wataweza wapi kulipia matangazo kwenye TV, Lissu alikuwa anaropoka tu huko kwa mabeberu ila maandalizi zero.
Shoga wenu ndo kalaaniwa na nyie uzao wake kwa WabeligijiSina ugomvi na wewe, ila ULAANIWE wewe na uzao wako!
Shoga wenu ndo kalaaniwa na nyie uzao wake kwa Wabeligiji
Doh 🙄...Sina ugomvi na wewe, ila ULAANIWE wewe na uzao wako!
Angesema "...apitia kariakoo"Kwahiyo ulitaka mleta mada asemeje
Aliwaterekezaaa wanainchi wake akajiendea kuinanga inchi ugaibuni balamoja hadi lingineee huku akitafuta huruma ya wagaibuni wamsaidie kupata uraisiii.
Lakini si wanapewa pesa za majimbo kusaidia hata kidogo, tena hii pesa unapewa mbunge ukahudumie Wananchi utakavyo.Mkuu kwani wabunge wanakusanya kodi.
Kwahiyo kwa akili yako kiduchuuu umeona kumbe wabunge hawana kazi ya kufanya juuu ya maendeleo ya watu?Hata sijaona waliobaki na kuendelea na ubunge (wawe CCM ua upinzani) walifanya nini kwa wananchi. Waitara alifanya nini?? Nkamia alifanya nini.
Watu wengine sijui mkoje?! Sasa kama wewe hapo kijijini unaonekana umetoa point eh??
Jua kuwa mbunge hawezi kuhudumia wananchi maelfu na mahitaji yao - hilo ni jukumu la serikali kwa sababu ndio inakusanya mapato!!!
Hata hukumpigia kuraMagufuli ameua, ameteka watu, anabagua watu kwa misingi ya kisiasa, anawatumia akina Musiba kutukana wastaafu, n.k. Tulimpa urais ayafanye haya,? Ndiyo unataka achaguliwe tena?