Tundu Lissu kabla hajapigwa risasa alikuwa Mbunge wa kuchaguliwa kwa vipindi viwili. Alikuwa akipata fedha za mfuko wa jimbo zaidi ya milioni 40 kila mwezi. Atueleze alifanya maendeleo gani jimboni kwake kwa kutumia fedha hizo ili tupime uwezo na uaminifu wake katika kutumikia Watanzania. Atueleze pia ametumiaje taaluma yake ya sheria kusaidia uboreshaji wa haki kwa Watanzania.
Wabunge siyo halimashauri kwanza majimbo ya wapinzani CCM huwahujumu kwa kuzuia meya kutekeleza miradi ya maendeleo kwa makusudi ili kuwakomoa wabunge wa upinzani, hata hivyo majimbo ya CCM hayana maendeleo na mfano halisi na wa wazi ni jimboni kwa Spika huko kongwa, mtama kwa Nape, na kwingineko kwingi walipo wabunge wa CCMTundu Lissu kabla hajapigwa risasa alikuwa Mbunge wa kuchaguliwa kwa vipindi viwili. Alikuwa akipata fedha za mfuko wa jimbo zaidi ya milioni 40 kila mwezi. Atueleze alifanya maendeleo gani jimboni kwake kwa kutumia fedha hizo ili tupime uwezo na uaminifu wake katika kutumikia Watanzania. Atueleze pia ametumiaje taaluma yake ya sheria kusaidia uboreshaji wa haki kwa Watanzania.
Hakuna jimbo la mbunge wa CCM lina maendeleo tembea jimboni kwa Ndungai uone kulivyo kwa hovyo ndipo utashangaa..hakuna swali rahisi kwa mbunge kujibu kama matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo.
..kwanza, fedha zile haziingii ktk akaunti binafsi ya mbunge, hivyo hakuna uwezekano wa mbunge kuzipiga.
..pili, matumizi ya fedha hizo hufanywa na kikao cha madiwani, mbunge ni mwenyekiti wa kikao hicho.
Tundu Lissu kabla hajapigwa risasa alikuwa Mbunge wa kuchaguliwa kwa vipindi viwili. Alikuwa akipata fedha za mfuko wa jimbo zaidi ya milioni 40 kila mwezi. Atueleze alifanya maendeleo gani jimboni kwake kwa kutumia fedha hizo ili tupime uwezo na uaminifu wake katika kutumikia Watanzania. Atueleze pia ametumiaje taaluma yake ya sheria kusaidia uboreshaji wa haki kwa Watanzania.
Kwanza CCM huwahujumu wapinzani ili waonekane hawaleti maendeleo yeyotehacha hizo mkuu kwani ndo alikua anakusanya kodi za nchi nzima , kazi ya mbunge ni kuwasilisha kero za wananchi wake na serikari iliyo madarakani nikutekeleza basi , na mfuko wa jimbo hupo kwa sababu mahalum so kama wafikili mfuko wa jimbo ndo ulete maendeleo katika jimbo husika mkuu hapo hujatenda aki kiongozi
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..
Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.
Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..
Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu
Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia
Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..
Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Wacha kupiga mayowe!Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..
Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.
Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..
Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu
Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia
Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..
Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Aione Mwanahabari Huru , wapendwa linalofaa lichukueni. BUT technically Lisu ana mvuto naturally kumsikiliza! Hilo nalo ni muhimu. Ni kupangilia muda, say, 30 min atafanya nini, 30 min..madhaifu ya CCM., 30 min madhaufu ya Jiwe na serikali etc. Kuwe na thik TANKS wa kuyaandaa yeye ayapitia for final version!Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..
Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.
Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..
Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu
Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia
Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..
Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Nyoosha tu maelezo mkuu.Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..
Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.
Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..
Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu
Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia
Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..
Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Zikipita dak5 Lissu hajataja jina la Magufuli kwenye Kampeni zake lazima augue haraka Sana na kunaweza sababisha akaishiwa hata damu.Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..
Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.
Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..
Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu
Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia
Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..
Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
MKUU uko sahihi kabisa. Lissu atapata KULA nyingi sana. ila Mzee Magu ataondoka na KURA kama zoote za kutosha. Safari hii mtajamba sanaaaBila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..
Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.
Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..
Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu
Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia
Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..
Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Wekeni nguvu kwa wabunge uraisi sahauniBila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..
Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.
Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..
Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu
Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia
Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..
Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Utakufa kwa kihoro!Nyoosha tu maelezo mkuu.
Tundu Lisu aache kutuhadithia stori yake ya Risasi 16, badala yake ajikite kutuambia atatufanyia nini wananchi?
Safarini ushauri mwingi sana tanapa mnatoa.kuna tatizo Ila mnakufa na taiChadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Hatuna raisi wa miujizaaaa, anahangaika bureee.Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..