Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
..hakuna swali rahisi kwa mbunge kujibu kama matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo.

..kwanza, fedha zile haziingii ktk akaunti binafsi ya mbunge, hivyo hakuna uwezekano wa mbunge kuzipiga.

..pili, matumizi ya fedha hizo hufanywa na kikao cha madiwani, mbunge ni mwenyekiti wa kikao hicho.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tundu Lissu kabla hajapigwa risasa alikuwa Mbunge wa kuchaguliwa kwa vipindi viwili. Alikuwa akipata fedha za mfuko wa jimbo zaidi ya milioni 40 kila mwezi. Atueleze alifanya maendeleo gani jimboni kwake kwa kutumia fedha hizo ili tupime uwezo na uaminifu wake katika kutumikia Watanzania. Atueleze pia ametumiaje taaluma yake ya sheria kusaidia uboreshaji wa haki kwa Watanzania.

Hoja zingine za kufikiri kwa tako ni hizi hapa. Kati ya mawakili nchi hii waliotumia taaluma yao ya sheria kuwatetea raia mahakamani bure na kwa fedha zake binafsi nchi zima huwezi kukosa jina la Tundu Lissu. Kwa kuwa ana uwezo mkubwa, kesi hizo nyingi ameshinda. Kuhusu mfuko wa Jimbo, hebu jiongeze akili kidogo. Unajua wewe mtiririko wake tangu zinapotolewa mpaka matumizi yake? Kwa ufinyu wa akili zako unafikiri fedha hizo za Serikali zinaingizwa kwenye akaunti binafsi za mbunge na kuwa mshahara wa pili wa hisani? Hovyooo.!!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tundu Lissu kabla hajapigwa risasa alikuwa Mbunge wa kuchaguliwa kwa vipindi viwili. Alikuwa akipata fedha za mfuko wa jimbo zaidi ya milioni 40 kila mwezi. Atueleze alifanya maendeleo gani jimboni kwake kwa kutumia fedha hizo ili tupime uwezo na uaminifu wake katika kutumikia Watanzania. Atueleze pia ametumiaje taaluma yake ya sheria kusaidia uboreshaji wa haki kwa Watanzania.
Wabunge siyo halimashauri kwanza majimbo ya wapinzani CCM huwahujumu kwa kuzuia meya kutekeleza miradi ya maendeleo kwa makusudi ili kuwakomoa wabunge wa upinzani, hata hivyo majimbo ya CCM hayana maendeleo na mfano halisi na wa wazi ni jimboni kwa Spika huko kongwa, mtama kwa Nape, na kwingineko kwingi walipo wabunge wa CCM
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
..hakuna swali rahisi kwa mbunge kujibu kama matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo.

..kwanza, fedha zile haziingii ktk akaunti binafsi ya mbunge, hivyo hakuna uwezekano wa mbunge kuzipiga.

..pili, matumizi ya fedha hizo hufanywa na kikao cha madiwani, mbunge ni mwenyekiti wa kikao hicho.
Hakuna jimbo la mbunge wa CCM lina maendeleo tembea jimboni kwa Ndungai uone kulivyo kwa hovyo ndipo utashangaa
 
Tundu Lissu kabla hajapigwa risasa alikuwa Mbunge wa kuchaguliwa kwa vipindi viwili. Alikuwa akipata fedha za mfuko wa jimbo zaidi ya milioni 40 kila mwezi. Atueleze alifanya maendeleo gani jimboni kwake kwa kutumia fedha hizo ili tupime uwezo na uaminifu wake katika kutumikia Watanzania. Atueleze pia ametumiaje taaluma yake ya sheria kusaidia uboreshaji wa haki kwa Watanzania.

Mkuu inamaana haujaona uzi wa "Huyu ndiye lissu?" mbona wameeleza mapambano ya lissu kabla na baada ya kuwa mbunge?
 
hacha hizo mkuu kwani ndo alikua anakusanya kodi za nchi nzima , kazi ya mbunge ni kuwasilisha kero za wananchi wake na serikari iliyo madarakani nikutekeleza basi , na mfuko wa jimbo hupo kwa sababu mahalum so kama wafikili mfuko wa jimbo ndo ulete maendeleo katika jimbo husika mkuu hapo hujatenda aki kiongozi
Kwanza CCM huwahujumu wapinzani ili waonekane hawaleti maendeleo yeyote
 
Majimbo ya wabunge wa CCM kwa asilimia kubwa hayana maendeleo, kwanza ni vigumu kupata maendeleo kwa sababu utawala huu waziri wa fedha ni mtukufu mwenyewe akisaidia na mwanae Doto, pesa zote wamechukua wameenda kuficha chato na zingine kuzitumia kwenye kampeni
 
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
 
Very constructive Idea
 
Wacha kupiga mayowe!
 
Aione Mwanahabari Huru , wapendwa linalofaa lichukueni. BUT technically Lisu ana mvuto naturally kumsikiliza! Hilo nalo ni muhimu. Ni kupangilia muda, say, 30 min atafanya nini, 30 min..madhaifu ya CCM., 30 min madhaufu ya Jiwe na serikali etc. Kuwe na thik TANKS wa kuyaandaa yeye ayapitia for final version!
Pia lazima kuandaa namna ya kuweka shinikizo ya kumtangaza aliyeshinda maana Kaijage ni tatizo, tena tatizo kubwa!.
 
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Nyoosha tu maelezo mkuu.
Tundu Lisu aache kutuhadithia stori yake ya Risasi 16, badala yake ajikite kutuambia atatufanyia nini wananchi?
 
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Zikipita dak5 Lissu hajataja jina la Magufuli kwenye Kampeni zake lazima augue haraka Sana na kunaweza sababisha akaishiwa hata damu.

Kwahiyo mkuu ushauri wako Ni mzuri sana lakini siyo kwa mtu Kama lissu utamuua mapema ukitaka afuate ushauri wako, Acha aendelee kubwabwaja tu hivyo hivyo.
 
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
MKUU uko sahihi kabisa. Lissu atapata KULA nyingi sana. ila Mzee Magu ataondoka na KURA kama zoote za kutosha. Safari hii mtajamba sanaaa
 
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Wekeni nguvu kwa wabunge uraisi sahauni
 
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Safarini ushauri mwingi sana tanapa mnatoa.kuna tatizo Ila mnakufa na tai
 
H
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Hatuna raisi wa miujizaaaa, anahangaika bureee.
 
Back
Top Bottom