Huyo jamaa anapenda sana kujipendekeza kwa tundu kinafiki..ila namuelewa nyalandu
Kawaida TAL alipotangazwa tu TISS ilipaswa wampe ulinzi ila kwa kuwa wamejawa na hila ndo ivo tenaKatika picha anaonekana akiwa makini kumlinda Tundu Lissu na kumkinga kushikana na watu bila ulazima. Kama humjui Unaweza ukadhani ni mmoja ya walinzi wa mgombea.
Ni jambo muhimu sana kuhakikisha usalama wa wagombea wote 'muhimu' wa Urais kipindi hiki kwa sababu kinachangamoto nyingi ikiwemo kujulikana muda na mahala utakapokuwepo pamoja kukutana na watu wengi. Isije tokea wengine wakaona kampeni ngumu wakatumia njia nyingine kutafuta ushindi
View attachment 1559980
MATAGA mmepoteana vibaya mno [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo jamaa anapenda sana kujipendekeza kwa tundu kinafiki..ila namuelewa nyalandu
Usifanye mchezo na MunguCHADEMA wana ushawishi mkubwa sana sasa nafikiri tutaona makubwa jinsi siku zinavyokwenda. Leo Mbeya wametisha.
Tunamtakia kila la kheri Mh Tundu Lissu Mwenyezi Mungu amlinde.Katika picha anaonekana akiwa makini kumlinda Tundu Lissu na kumkinga kushikana na watu bila ulazima. Kama humjui Unaweza ukadhani ni mmoja ya walinzi wa mgombea.
Ni jambo muhimu sana kuhakikisha usalama wa wagombea wote 'muhimu' wa Urais kipindi hiki kwa sababu kinachangamoto nyingi ikiwemo kujulikana muda na mahala utakapokuwepo pamoja kukutana na watu wengi. Isije tokea wengine wakaona kampeni ngumu wakatumia njia nyingine kutafuta ushindi
View attachment 1559980
Tunamtakia kila la kheri Mh Tundu Lissu Mwenyezi Mungu amlinde.
Walimpa walinzi na Nyalandu ni mmoja wao! Na leo umejua.Kawaida TAL alipotangazwa tu TISS ilipaswa wampe ulinzi ila kwa kuwa wamejawa na hila ndo ivo tena
Nyalandu anaonekana kuwa makini. Kuliwa kutokea tetesi za kuwa agent wa AICWalimpa walinzi na Nyalandu ni mmoja wao! Na leo umejua.
Nyalandu ni TISS yule Yuko kwa Special Mission aliyopangiwa!!Walimpa walinzi na Nyalandu ni mmoja wao! Na leo umejua.
Alafu?Ndugu Magufuli yupo Kanda ya Ziwa. TBC anatembea nayo. Hata akisimama njiani kwa dakika 5 anakuwa "live". Ananadi sera za CCM. TBC imempa [emoji817]+percent upendeleo dhidi ya mgombea wowote wa urais. Yaani ni kama TBC imekuwa tbccm. Cha ajabu Magufuli anaongea lugha tusiyoijua. Tunaambiwa ni kisukuma. Sasa hii lugha si ya kitaifa. Kwanini TBC isimkatie matangazo mubashara?
Mbwakoko habwati kwa bwana wake asilani, siku zote huufyata mkia wake.Ndugu Magufuli yupo Kanda ya Ziwa. TBC anatembea nayo. Hata akisimama njiani kwa dakika 5 anakuwa "live". Ananadi sera za CCM. TBC imempa 💯+percent upendeleo dhidi ya mgombea wowote wa urais. Yaani ni kama TBC imekuwa tbccm. Cha ajabu Magufuli anaongea lugha tusiyoijua. Tunaambiwa ni kisukuma. Sasa hii lugha si ya kitaifa. Kwanini TBC isimkatie matangazo mubashara?