Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Tii sheria bila shuruti, Mtumiaji wa barabara sio wewe peke yakoMengine yapo mengi kweli kweli,mfano hili suala la polisi wa usalama barabarani kujificha vichakani na kupiga tochi halafu wanarusha picha kilimeta 5 limekuwa kero kubwa sana.Natamani siku moja wagongwe na Nyoka ndio watashika adabu.
Siku hizi nikitaka kwenda mkoa wowote Tanzania Bara basi lazima safari hiyo nipange usiku.
28 oct litafahamika hili!Watu wenye akili hupambania ubora, ila watu wenye akili ndogo na kutumia mabavu, hujali wingi bila ubora.
28 oct litafahamika hili!
wapiga kura hawahitaji kusikia mambo hayokukaguliwa.Tafadhali tukumbushe jinsi Prof Assad, CAG aliyeonyesha uadilifu wa hali ya juu alivyofurushwa katika nafasi hiyo alipohoji mambo kadha wa kadha yaliyofanywa na serikali hii.
Ndugu zangu,
Haikueleweka mara moja kama watoto hawa wamefunga shule au lah. Picha inajieleza zaidi.View attachment 1563585
Ndugu zangu,
Haikueleweka mara moja kama watoto hawa wamefunga shule au lah. Picha inajieleza zaidi.View attachment 1563585
Unaweza kuta ni picha ya yule mbunge wa Ccm Mbeya. Wame pachika hapo sura ya Lissu.Ungetueleza hapo ni wapi ili wenye majibu wakujibu. Sasa wewe unaweka tu picha, unaogopa nini?
Unaweza kuta ni picha ya yule mbunge wa Ccm Mbeya. Wame pachika hapo sura ya Lissu.
Ungetueleza hapo ni wapi ili wenye majibu wakujibu. Sasa wewe unaweka tu picha, unaogopa nini?