While the CCM party manifesto only advocates infrastructures, the counter party invests in public welfare
Public welfare without any strategies to raise the government revenue! Wishfull thinking. If wishes were horses, beggars would ride.

Mwadanganye watoto wa chekechea.

Kwa taarifa tu, wagombea wa Ubunge na Udiwani wanapangua VIOJA vya Lissu kwa kwa kutumia Ilani ya uchaguzi iliyo sheheni maendeleo ya juzi, jana, kesho na yajayo. Hivyo basi, aibu watakayoipata viongozi wa CHADEMA hawataamini zaidi ya kudai wameibiwa kura.
 
Watanzania tusipomuweka Tundu Lissu Madarakani leo itatuchukua tena miaka zaidi ya 60 kumpata mtu kama Tundu Lissu!! Lissu ni tunu kutoka kwa Mungu, tumtumie vizuri before its too late
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
mtu ambaye hakereki na kitu humkuti akikizungumzia, lakini kikimkera na kumtia hofu lazima atakizungumzia.

kama ungekuwa na uhakika Lissu atapata kura kiduchu hivyo wewe wala usingejihangaisha naye.
the fact unaongelea kura za Lissu inaonyesha umejaa hofu kubwa sana huenda jamaa atatinga Magogoni October!

tuliza mshono comrade..
 
Wakati Lisu ana haha ili aje afikishe japo 20% ya kura mwenzie Magu anaendelea na majukumu yake kama rais kwa kukutana na rais Museven ambapo wameweka sawa mambo ya kufanya kuanzia 2021.

Ningekuwa mimi Lisu ningerudi tu kwenda kupumzika kijijini.
 
Nimetafakari hali ya kampeni ya chama changu nina mashaka kuwa mwenyekiti wa chama changu ametuhujumu.

Kwa nini amemruhusu mgombea ambae anatukana wapiga kura,mgombea ambae mda wote anaongea kwa jazba na anajikuta anasahau kunadi sera za chama na badala yake ni kusimulia jinsi alivyopigwa risasi na maharamia.

Mwenyekiti wangu aliuza chama mwaka 2015 na chama changu kikaharibika, mwaka huu amefanya hujuma ili tushindwe na kufutika kabisa. Mwenyeki wangu nina mashaka sana na wewe.
 
While the CCM party manifesto only advocates infrastructures, the counter party invests in public welfare
CHADEMA hawajawahi kuandaa ilani yao ikawa nje ya ibara yao ya tatu ya katiba ya chama ambayo ndiyo msingi wa itikadi yao.

Wamekuja na ilani iliyojengwa katika msingi wa Public Welfare na wamepata mgombea anayeweza kuinadi vizuri sana ilani husika.

Kimsingi wagombea wao wa ubunge wanatakiwa wainadi vizuri kwa wananchi huko majimboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…