Juzi kati heshimiwa lissu baada ya kuzindua kampeni kwenye kanda kumi, tuliambiwa kwamba angeanza kutumia Helkopta kwenye kampeni za kata namajimbo.
baadae zikaja taarifa kwamba mamlaka ya anga wamekataa kutoa kibali cha kurusha chopa hiyo japo wenyewe walikuja kukanusha. Leo ni siku ya tatu kama si ya nne, hamna taarifa yoyote.
Viongozi wangu wa chama mnakwama wapi? Kwa ukubwa wa hii nchi ingekuwa vizuri kama mheshimiwa rais mtarajiwa angetumia huu usafiri maana unamrahisishia kufika maeneo mengi kwa muda mfupi.

Cc Salary Slip
 
Tundu ni mtundu kwelikweli. Amewashika mahali pabaya mpaka mnashindwa kupumua. Tundu ndiye anayejua kueleza sera za chama chake vizuri hadi kila msikilizaji raha tu. Kwa hali inavyoonekana atashinda kwa kishindo. Hofu tu ni kuwa Chadema inagombea dhidi ya tume ambayo mgombea wake ni jiwe wa ccm. Vinginevyo Chadema itashinda sio chini ya 80%.
 
Huwezi hata mbrash viatu CHADEMA, endelea kushindia mihogo ya kuchoma Lumumba.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti kamanda asiyechoka! Hebu tuondolee upuuzi wako. Upuuzi mwisho lumumba siyo humu.

 
Robert amemkataza aspande ndege,
Sio siri katika vitu vibanifanya nimshukuru sana Mungu ni kutokuwa maskini. Sio siri nimekusoma kwa jicho la huruma sana namna unavyovuja jasho la damu ili ule ugali.

Yaani tangu alfajiri uingie humu kibaruani wewe una type tuuu kila nyuzi upo hadi usiku wa manane unakodolea screen tu kwa ujira mdogo!! Daah nimejisikia vibaya kama mwanangu vile nikawaza kweli CCM ni makatili na manyonyaji. Mtoto wa watu upo hadi mida hii unaandika kila thread daah

Umaskini mbaya sana.
 
Katika watu wenye vipaji na fani zao hapa duniani basi na Tundu Lissu ni mmoja wapo. Watu wengine watasema kwani msomi ni yeye peke yake?! La hasha, msomi si yeye peke yake lakini ana kipaji cha pekee. Ndiyo maana hata kwenye mpira kuna wachezaji wengi lakini kuna Messi na Ronaldo! Hii inapelekea mpaka hao wanaojiita wasomi kumuogopa Lissu.
 
MATAGA mnakomeshwa kweli kweli na kiboko ya CCM ya Magufuli.
LISSU wanyooshe hawa matapeli wamekula pesa ya Magufuli na kumdanganya wameidhiti CHADEMA.
 
Kweli mkuu,huyu 'yanki' inabidi aangaliwe kwa jicho la huruma sana ..!
 
Chama hakina pesa ya kampeni, bil nane ilitafunwa na Mbowe. Takukuru wanachelewa kumburuta mahakamani.

Hakuna pesa ya kukodi chopa ndio maana wanachangisha watu kwenye mikutano.
 
Ni woga wa wale watu kwa LISSU.
 
Mataga njooni na propaganda zenye mashiko,hizi prorojo za hapa na pale mnapoteza muda bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…