We jamaa nishakuona hamnazo siku nyingi. Hovyo kabisa
Unachukua muda wako kumjibu Juha huyo. Mara nyingi anaandika uharo mtupu sijui kama kazaliwa hospital huyu maana anakila dalili kichwa chake kilijipigiza chini.
 
Ccm kila wanaposikia jina la Lissu wanaugua ukimwi wa Chattle!
Lazima waugue kamanda!
We unafikiri kushitakiwa na ACACIA ili tuwalipe mabilioni baada ya kukamata mchanga wao ni hoja ya kitoto?
Lisu ni msomi wa nguvu kamanda! unafikiri CCM kuna anayeijua MIGA? ni Lisu tu!
 
Usomi wa Lisu sio wa Tanzania hii kamanda.
Ni msomi pekee anayejua tutashtakiwa na ACACIA na kuwalipa mabilioni.
Hakuna msomi yeyote wa CCM anayejua hilo.
 

Hiyo ndio siasa so ww tulia tu na uvumilie kwa Miezi 2 tu

Hata Jana ndugai kaongea lugha mbovu sana but Watu wametulia tuli
 
Usomi wa Lisu sio wa Tanzania hii kamanda.
Ni msomi pekee anayejua tutashtakiwa na ACACIA na kuwalipa mabilioni.
Hakuna msomi yeyote wa CCM anayejua hilo.
Wanasheria wasomi kutoka ccm wapo wa kutosha sana,mfano... Andrew Chenge,kila aina mpya ya wizi kwenye nchi hii yupo,tena kuna yule Tumbili alimwita mwizi akataka kumuua mnamjua mwenyewe wakati wa kashfa ya ESCROW akaunt,hivi na huyu aliyeokolewa Jalalani naye si ni profesa wa sheria?
Mnikumbushe ndugu zangu wa ccm....bado kuna huyu wa sasa bwana Kilangi naye yumo na sheria zake za ki Jiwe Jiwe....
 
Anatekeleza maagizo ya katibu mkuu wao aliyewaambia wajibu mapigo .
 
CCM ndio mmeishiwa hoja kiasi hiki , kampeni hazijafika hata nusu , kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza .Mwaka huu maji mtaita mma
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo

Analysis yako haiko sawasawa kwa sababu:
(1) Lowassa sawa alikuwa na nyomi, lakini Lowassa kampeni zake aliishia miji mikuu tu (Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha, Tanga, etc) ila Lissu atapita na kukutana na wapiga kura ndani ya majimbo karibu 70%
(2) Lowassa hakuwa muongeaji au mjengaji wa hoja. Hoja yake ilikuwa nyepesi sana isiyoeleweka vizuri: " Watanzania wanataka mabadiliko, Ni wakati wa mabadiliko.. watanzania wana mahaba na mimi..." Lissu anatoa darasa kabisa kwa wapiga kura kwa nini wamchague na Tanzania ya sasa inahitaji nini hasa: "Uhuru, haki, na maendeleo ya watu.." Hii ni hoja inayoeleweka na yenye mashiko
(3) Lowassa alikuwa na makandokando mengi sana ya ufisadi na kutokuwa na uadilifu, jambo ambalo liliwafanya malaki ya wapinzani original wasiisupport Chadema na Ukawa tena na kuleta mgawanyiko, ref: aina Slaa na Lipumba waliondoka upinzani, na hii ilirudisha nyumba wapiga kura wengi. Lissu hana kashfa yoyote ya uadilifu na ni mpinzani original na wa kweli kwa hiyo kila mtanzania mwenye chembechembe ya upinzani anamuunga mkono na atampa kura.

Kwa hiyo tusishangae Lissu akazoa kura nyingi sana kuliko Lowassa, ingawa anaweza hasimshinde JPM au hasitangazwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…