Chama cha Lumumba.
 
Unga juhudi umkomeshe
 
Mnapoteza muda na Mbowe, Lissu ndiye atakayewamaliza.
 
Huko Chato muda huu malori ya mchanga yapo busy kwelikweli kusomba raia vijijini.
 
kiitikio: tumeibiwa kura
 
Hahaha.. mataga mnateseka Sana na tundu lissu poleni!
 
Endeleeni kutunga porojo ila tunakoelekea mtajua kuwa watanzania wamewachoka kiasi.

✓Habari yako haina chanzo chochote wa ushahidi wa hayo uyazungumzayo.

✓Kama si 2020 basi itakuwa 2025 kama si 2025 basi 2030 jiandaeni kuachia madaraka
ni hoja tu kamanda, kufika 2030 hata wewe utahama huko ulipo utakuja CCM.
 
wanyaturu lazima wampe mnyaturu mwenzao
 

..kwa taarifa yako, acaccia walikwenda mahakamani.

..na kesi hiyo ilisitishwa baada ya majority share holders kukubali kuwanunua minority share holders.

..kwa hiyo mpaka hapo TL alikuwa sahihi aliposema tutashitakiwa.

..jambo lingine alisema ripoti zile ni professorial rubbish, ni ubabaishaji mtupu.

..sasa hilo limethibitika baada ya serikali kulipwa fedha[300 mil] kiduchu kulinganisha na kile ambacho tulielezwa kwamba accacia wameiba[191 bil].

..zaidi, tuliahidiwa kwamba makinikia hayatasafirishwa nje tena, lakini sasa hivi yanasafirishwa kama mwanzo.

..tuliahidiwa kwamba smelter itajengwa hapa nchini, lakini hakuna anayezungumzia jambo hilo tena.
 
Kwa hiyo serikali inalipwa badala ya kudaiwa mabilioni kama Msomi wetu alivyotuaminisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…