Mbona naona watoto wengi Sana😳!13 September 2020
Ifakara, Morogoro
Tanzania
Somo la Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu limezidi kueleweka kuelekea kuchagua Rais 2020
waTanzania bila kujali kama wana vyama vyao vya ACT -WAZALENDO na CHADEMA wampa Tundu Lissu mapokezi ya kihistoria katika kampeni za kuomba urais na kuahidi kura nyingi kwa mgombea Urais wa CHADEMA na wabunge wa upinzani.
Kwa hiyo serikali inalipwa badala ya kudaiwa mabilioni kama Msomi wetu alivyotuaminisha?
Kamanda utakuwa umesahau...TL alisema ripoti zinazodai usd 191 billion ni professorial rubbish / ubabaishaji.
..kudai tumeibiwa usd 191 bil, halafu tukazungumza na kukubali kulipwa usd 300 mil, ni ujinga wa kiwango cha juu.
..kimahesabu ni sawa na kudai usd 636 halafu tukubali kulipwa usd 1, tena kidogo-kidogo ktk timeline ya tunaowadai.
Kamanda utakuwa umesahau.
Tundu Lisu hakutaja kiasi alisema tu kulingana na MIGA tutadaiwa mabilioni.
Nashangaa maprofesa wa CCM waliwezaje kugeuza kutoka kudaiwa mabilioni hadi kulipwa mabilioni.
Hili haliwezekani. Lisu hawezi kukosea kiasi cha kushindwa na maprofessa jalala.
Mabilioni tunayahitaji ndo maana maprofessa jalala wakapindua hoja ya msomi wetu Lisu kudaiwa mabilioni na sasa tunalipwa mabilioni...ina maana usd 191 billion hatuzihitaji tena?
..kulipwa usd 300 mil badala ya 191 bil mumeona ni ushindi?
..na kwanini makinikia yanasafirishwa nje wakati tuliahidiwa hayatasafirishwa nje tena?
..smelter tulioahidiwa itajengwa iko wapi?
Mabilioni tunayahitaji ndo maana maprofessa jalala wakapindua hoja ya msomi wetu Lisu kudaiwa mabilioni na sasa tunalipwa mabilioni.
- Smelter moja ni kama Dreamliner ngapi hivi?
Tusubiri tu kamanda - Huyu msukuma si unamjua? au bado mpaka leo hujamuelewa?
Hizo bil 191 hazikuwemo kwenye hoja ua msomi wetu Lisu...Je, hatuhitaji tena usd 191 billion?
..je, mabilioni hayo si yangetusaidia kununua midege, kujenga sgr, kujenga mradi wa umeme, na hata smelter?
..sasa mapesa yooote hayo tumewaachia barrick, halafu tunasifia ma-profesa?
NB:
..usd 300 million is peanuts. haitoshi hata kujenga sgr kipande cha dar-moro.
Hizo bil 191 hazikuwemo kwenye hoja ua msomi wetu Lisu.
yeye aliishia tu kudai tutadaiwa MABILIONI, Matokeo yake TUNALIPWA Mabilioni.
..ndiyo msingi wa hoja ya TL aliposisitiza kwamba ripoti zilikuwa na walakini.
..kama ripoti hazikuwa na walakini basi tungelipwa usd 191 billion, au kiwango kisichotofautiana sana na hicho.
..na maprofesa wote walikuwepo kwenye timu ya majadiliano, sasa ni vizuri tukauliza kwanini tulipwe kidogo namna ile?
..pia ukumbuke hapa tunazungumzia mabilioni ya dola, siyo mabilioni ya shilingi.
Kwa hiyo hoja ya msomi wetu kuhusu kuwalipa ACACIA Mabilioni ilihusu hizi bil 191?..ndiyo msingi wa hoja ya TL aliposisitiza kwamba ripoti zilikuwa na walakini.
..kama ripoti hazikuwa na walakini basi tungelipwa usd 191 billion, au kiwango kisichotofautiana sana na hicho.
..na maprofesa wote walikuwepo kwenye timu ya majadiliano, sasa ni vizuri tukauliza kwanini tulipwe kidogo namna ile?
..pia ukumbuke hapa tunazungumzia mabilioni ya dola, siyo mabilioni ya shilingi.
Kwa hiyo hoja ya msomi wetu kuhusu kuwalipa ACACIA Mabilioni ilihusu hizi bil 191?
Ikawaje sasa wakatupunguzia 300ml?
Kwa nini hawakuchukua zote kama msomi wetu alivyokuwa anataka?
AbsolutelyThe bussness went into huge losses.
Actually magufuli hugely caused the deep downfall of ccm than any other ccm chairman.....as he over underestimated the power of opposition and the power of people.....Time for burial... Ccm is dug grave
Mkuu...huwezi kusema umeibiwa usd 191 billion halafu ukakubali kulipwa usd 300 million.
..yaani ni sawa na kuibiwa usd 636 halafu baada ya majadiliano ulipwe usd 1, tena kidogo kidogo.
..mimi baada ya TL kusema ripoti zilikuwa na mushkeli, nilikuwa nasubiri kuona nini kitapatikana baada ya majadiliano.
..kwa maoni yangu TL alikuwa sahihi toka mwanzo.
Mkuu.
kamanda msomi Lisu -Alisema tatashitakiwa na kuwalipa ACACIA mabilioni.
au umeshasahau?
Ok. mi sikuisikia hiyo kesi...ina maana hujui kwamba Accacia walikwenda mahakamani?
..na hufahamu kwamba matokeo yake ndiyo hayo tukaacha kuwadai usd 191 billion?
..bado unasubiri Noah? Unataka ya rangi gani?
Ok. mi sikuisikia hiyo kesi.
Kumbe tuliishinda ACACIA na kutakiwa tulipwe bil 191?
Ndo maana msomi wetu haongelei kabisa issue ya MIGA tena?
Mi siamini msomi wetu Lisu alishindwa na maprofessa jalala issue ya MIGA...kweli kabisa.
..mahakama iliamua tulipwe usd 191 billion.
..ila maprofesa wetu wakaona ni busara tulipwe usd 300 million.
..ndiyo maana sasa hivi tunasherehekea ushindi huo.
Kama Lijuakali ni kitengo basi Tanzania tutakuwa masikini milele