Umesahau kwamba tulitukanwa kwa miaka mitatano huku Shanghai zetu wakitishiwa kupigwa?
Umesahau kwamba ndugu zetu huko kusini WALIPOKWA KOROSHO ZAO?
Kwanini unadhani nimesahahu mkuu???

Hayo yaña uhusiano gani na kufanya kampeni za kistaarabu???
 
Wananchi hawana muda was kwenda kumsikiliza mouth piece ya mabeberu.

Lisu kaletwa na mabeberu ili aende ikulu kuwapatia rasilimali za nchi hii.

Hatumtaki.
Kafie mbele Muhutu wewe
 
Kampeni zianze
 
Kafie mbele na mgombea wako Muhutu asiejua kujaza fomu kwa usahihi anategemea kubebwa na policcm na NEC-ccm.
Wajuaji nyie na mgombea wenu toka ubelgiji asiejua Nini maana ya passport size.
 
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
 
Aksante kwa taarifa. Mimi, mke, na watoto wangu tutahudhuria mikutano yote huku tumevaa sare za chama.
 
Kuna Mgombea ana PhD ya kupewa, kasoma kuanzia form one mpaka ngazi ya PhD kwa lugha ya kiingereza, kafundisha sekondari zaidi ya miaka10 kwa lugha kiingereza, chakushangaza hajui kuongea lugha ya kiingereza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya maajabu yanapatika Tanzania pekee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…