Bila ujasiri wa Lissu hakuna mtu mwingine aliyewahi kupambana live na jpm. Ilikuwa uchague moja tu kufa au kuishi basi. Kawaulize akina kinana et al
 
Ni kweli na Baada ya hapa ataingia kwenye miko ya chini kimaemdeleo
Ratiba haijaisha mkuu kuwa mvumilivu.
 
CHADEMA wameanza kuiga style za Magufuli baada ya kiki zao za uzushi kuvuma. Huyu mzee atawapasua vifua.
 
Kauli moja ya jana imenifurahisha sana......
Wananchi msikubali kuongoza na mbunge au diwani ambaye hamkumchagua....

Nadhani kuna haja ya kutafuta namna ya kuwakataa katakata kwa kutumia nguvu ya umma hawa waliopita bila kupingwa.....
 
Tutapigana kwa hali na Mali kufanikisha kampeni za LISSU!
... NB: tofautisheni michango ya kampeni na rushwa ya kununua jogoo kwa laki moja!

πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Mapokezi ya Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu, Chitete - Momba, Hakuna mgombea Urais amewahi kufika tangu Tanzania inapata uhuru, eneo ambalo wananchi wanatatizo kubwa la Maji, wananchi wanakunywa maji pamoja na wanyama, hakuna hospitali ya wilaya.
 
Washukuru Sana tunae Jembe atawaletea maendeleo halisi siyo ya midomoni ya kina magufuli et al
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…