Hiyo ratiba imelenga kumsaidia Halima Mdee Tanganyika Packers na John Mrema Tabata temeke wanaenda tu kukamilisha ratiba waislamu wasione wamewabagua kwenye uzinduzi

Wagombea wengine majimbo mengine ya Chadema mtajijua
Atarudi tena Dar kufunga kampeni.
 
Wananchi hawana muda was kwenda kumsikiliza mouth piece ya mabeberu.

Lisu kaletwa na mabeberu ili aende ikulu kuwapatia rasilimali za nchi hii.

Hatumtaki.
Mabeberu ndio walio mpeleka Ubelgiji na wamemrudisha....
 
Mwaka 2015 Lowassa alipiga kambi Dar kila wakati, alirudi Dar na kufanya mikutano kila baada ya wiki mbili na ilimlipa, safari hii mnataka kutumia akili ilele kwa kazi ilele, kweli majanga.

Wagombea wa ccm DAR safari hii usipime, nakwenda kuambulia patupu na mtapoteza muda for nothing, kinondoni pachungu, KAWE ndiyo kabisaaaaa, kigamboni mzoee.
 
Tulia goma lianze kesho muone moto...
 
Uzinduzi ulipaswa kuwa siku moja na ungepaswa kufanyikia jangwani,miezi 2 ya kampeni ni midogo sana nchi kubwa sana hii kutumia siku 3 mkoa mmoja mtakua hamjabalance vyema
 
Uzinduzi ulipaswa kuwa siku moja na ungepaswa kufanyikia jangwani,miezi 2 ya kampeni ni midogo sana nchi kubwa sana hii kutumia siku 3 mkoa mmoja mtakua hamjabalance vyema
Najiuliza watakuwa na timu ngapi za kampeni... Maana wabunge wao machachar majimboni mwao hali ni ngumu kuanzia mwenyekiti
Wenzao on the other side huwa na timu nyingi zinazozunguka every part of this country
Sijui walijifunza nn kwa lowasa ambae hela ilikuwepo ila hawakufika nchi nzima..
 
Kila lakher kamanda Lissu.
 
Msije mkajipoga mabomu, kama Arusha alafu mkaisingizia serekali. Hadi leo mbowe hajatoa ile video aliyosema anayo, na inaonyesha mrusha bomu.

Walichogundua baadaye kumbe mrusha kombora alikuwa vijana wa Lema, ndiyo ikazimwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muhutu aliweka Passport anakula mhindi
Watanzania sisi ni wakulima hivyo Kula kazi ya mikono yetu sio dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…