Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Ayayayaya huuuu moto wa Lissu ,nadhan mataga unawapa kihoro sanaaa.
Jamaaa anapiga anawapiga kila anapowageuza anapigaaa tu hahahaha
Lissu Lissu Lissu
Majinga sn maccmHao wanne inawezekana ni mmoja tu, anajitekenya na kujichekea na id zake!
Magu ndo apumzike, ccm hali mbaya baada ya watanzania kumwelewa Lisu na chadema huku ccm na magu hawaamini kinachoendela kila kona ya Tanzania hasa huko kusini kwa sasa kumewaka moto si mchezoKwa sie tunaojua kuangalia mtu kwa jicho la kipekee, tunaona Lissu aechoka kwelikweli. Lissu wa kipindi cha kapeni za kikanda zio huyu wa Sumbawanga. Nawaomba sana Muwe mnampatia mda wa mapumziko asije akasingizia kalogwa. Lakini pia Lissu hajapona vizuri hivyo anafaa kupata mda mzuri wa kupumzika...
CCM mtajua hamjui mwaka huu subiriniKigogo ndio kahack mifumo ya nec? Au wale mabeberu wa Lisu kina Amsterdam?
Hivi hata mnaelewa kinachoendelea hapa nchini kweli? Yani hapo chadema hamna mtu hata mmoja mwenye akili wa kuwafanyia analysis ya kuona kukubalika kwenu?..
Utaelewa badae. Kwa sasa tulia kwanza.Magu ndo apumzike, ccm hali mbaya baada ya watanzania kumwelewa Lisu na chadema huku ccm na magu hawaamini kinachoendela kila kona ya Tanzania hasa huko kusini kwa sasa kumewaka moto si mchezo
Lissu ni mpango wa Mungu. Hatochoka na hatoshindwa kamwe. Kumbukeni tu yule ana nguvu ya Mungu ndani yakeKwa sie tunaojua kuangalia mtu kwa jicho la kipekee, tunaona Lissu amechoka kwelikweli. Lissu wa kipindi cha kapeni za kikanda sio huyu wa Sumbawanga. Nawaomba sana Muwe mnampatia mda wa mapumziko asije akasingizia kalogwa. Lakini pia Lissu hajapona vizuri hivyo anafaa kupata mda mzuri wa kupumzika.
Najua anapitia changamoto nyingi ndio maana hata kunyoa anasahau mda mwingine. Na changamoto hizi zote anapambana peke yake kwa asilimia nyingi.
Changamoto anazopitia ni kama ifuatavyo.
1. Pesa ya Kampeni haieleweki vizuri. Hapa anapambana kuwasiliana na watu mbalimbali usiku na mchana. Watu wake wa karibu wadai halali vizuri kwa sababu hataki kusimamisha kampeni.
2. Matarajio aliyokuwa anayategemea sasa hayaoni. Lissu alijua CCM itameguka vipande vipande, Lissu alijua atapata kuungwa mkono na wakongwe wa CCM, Lissu alijua watu wataelewa kirahisi sera zake. Cha kushangaza mambo yako kinyume.
3. Lissu pamoja na wana CHADEMA walijua ACT kingewaunga mkono .hili nalo linampa uchovu.
4. Wabunge wa CHADEMA hawana hela za kampeni. Mikutano mingi inafanyika pale tu yeye anapofika.
Hadi sasa Lissu ameshaanza kuelewa somo, badala ya kuusaka Urais sasa ameanza kusaka kura nyigi za urais ili apate wabunge wengi wa viti maalum pamoja na ruzuku.
CHADEMA angalieni sana mgombea apate mda wa kulala vizuri, kula vizuri .
Mwache anakula vya wajinga. Alivoona anastafu siasa akaona hawezi kustafu hivi hivi mikono mitupu wakati kuna pesa za wajinga ccmLwakatare anakula posho yake ya usaliti yupo kwake pale kibeta anachungulia inje ana hofu mtaani
Mkuu ni kodi zetu Ccm wanazichezea kununuana kama kuku wa kisasaMwache anakula vya wajinga. Alivoona anastafu siasa akaona hawezi kustafu hivi hivi mikono mitupu wakati kuna pesa za wajinga ccm
Mwache anakula vya wajinga. Alivoona anastafu siasa akaona hawezi kustafu hivi hivi mikono mitupu wakati kuna pesa za wajinga ccm
Tunawaza kwamba kama mbunge ni hivi je Lissu akifika hapa itakuwaje ?Mchanganya picha wenu makini sana ,anawafichia sana aibu
Kagera CCM huenda itashinda jimbo la Muleba kaskazini kwa Mwijage tuChief mapema tu anachukua jimbo.! Fisiemu hawana chao huku