Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ikifika october 28 au november 3 utapata majibu ya nani ni nani
Ndio maana lissu atashindwa vibaya kwa sababu anafikiri uanasheria ndio siasa. Siasa inahitaji maadili na utu sio ubabaishaji wa kumpa mhalifu haki. Anatoa hoja kwa mtindo wa ubabaishati kwa hoja dhaifu ili kumuokoa muuaji aepe kitanzi. Ndio kazi ya mawakili mtindo wa lissu.
 
Kata kitambulisho 20000/,=ujichingalize mwaka mzima bure,au uhangaishane na buku dala za mgamo wa jiji deile! Ni uamuzi wako siyo lazima .akili mkichwa.
 

Yaani Mdahalo Ungenoga Sana... Bila shaka tungeona "bwana wa majeshi yenye" akishikiliwa na majeshi yake
 
Mwaka huu na hilo boya lenu hamtoki... Na hata mkitoka mtagawana mbao, fito na nguzo...
Hazigawiwi mbao wala fito bali atapigwa gape kubwa sana la kura amini magufuli atashinda kwa kishindo sana na wabunge wengi wa upinzani watapoteza majimbo naomba tukutane hapa baada ya uchaguzi
 
Lissu kamzidi mtu akili
 

Kama hoja za magufuli... Yaani likianza kuongea haijulikani linaelekea wapi... Yaani anakikanyaga na kujipaka paka Kiswahili utafikiri hana PhD...
 

vipi ile sera yake ya corona, ameshatuliza mshipa ama bado anaendelea kuwaambia watu kuna corona
 
Unajua kiwa Marais wengi mahili wamesoma sheria?
Putin,Mandela Obama Jf Kennedy n.k
 
Hakuna mwenye akili timamu atakae mpigia kura lissu wengi wanaopinga ni kwaajili ya kutaka umaarufu maana hawajui nia yake ila jamaa anaokana wazi ana nia mbaya
 
Hazigawiwi mbao wala fito bali atapigwa gape kubwa sana la kura amini magufuli atashinda kwa kishindo sana na wabunge wengi wa upinzani watapoteza majimbo naomba tukutane hapa baada ya uchaguzi
Kwa Jecha style sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…