Jiwe uwezo ni mdogo mno. Mtoto si riziki. Anategwa na kutegeka kirahisi sana. Lissu ni another level.
 
Utu ndo huo anauonesha magufuli au?kweli wanaccm ni bahati mbaya kwa nchi hii na watu wake
 
Wafuasi wa CHADEMA kwa sasa Wanachokifanya ni kwenda kumfuata mgombea wao wa urais kwa kutembea akiwa bado yuko mbali sana na mji/mohali anapofanyia mkutano.

Style hii ya kupiga kampeni itatugharimu kiuchumi,barabara zinafungwa masaa karibia 5,pia tunapaswa kujua kuwa watu mia tano au mia nane wakiandamana barabarani wanachukua nafasi kubwa saaana.

Ni kweli mnatafuta kuonekana mna watu wengi kwa kutumia style hii japo sio wengi maana hata wanafunzi wa shule moja ukiwaambia waandamane barabarani wataonekana ni wengi,na hii mbinu tulikuwa tunaitumia mashuleni na vyuoni enzi zile kufanya migomo.

Nachotaka kieleweke ni kwamba,kuna shughuli nyingi sana za kiuchumi mnawakwamisha wananchi wa Tz na mbaya zaidi mnataka tuwachangie pesa kwenye mikutano yenu.
 
Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu atakuambia msema kweli ni mpenzi wa mungu! Labda mungu Lucifer
 
Watanzania tunajitambua sikuizi ndio maana wapinzani wanapata sana tabu kutushawishi, naomba kura yako mpigie magufuli maana yeye anatufaa sana
 
Mabasi ya mikoani wanachelewa sana kisa misafara ya wagombea wa CCM. Tulikalishwa nusu saa nzima Tabora kumsubiri Meko apite na msafara wake ndipo basi liendelee na safari. HAPO HAKUNA USUMBUFU?????

#Kura kwa CHADEMA
#Kura kwa LISSU
#UHURU, HAKI NA MANDELEO YA WATU
 
Pole sana kwanza tambua yule ni raisi wa nchi kwaiyo popote pale aendapo lazima apewe heshima yake, kuhusu kura naomba usihangaike mpigie kura magufuli ili tanzania azidi kupata maendeleo tunaomba kura yako tafadhali
 
Nyie kufunga shule na ofisi za serikali waka msikilize Jpm ni kuimarisha uchumi..
 
Poleni sana hivi hicho ndio mlichobakiza, baada ya mgombea wenu kukaukiwa hoja?
 
Pole sana kwanza tambua yule ni raisi wa nchi kwaiyo popote pale aendapo lazima apewe heshima yake, kuhusu kura naomba usihangaike mpigie kura magufuli ili tanzania azidi kupata maendeleo tunaomba kura yako tafadhali
Yeye kasema Meko wewe unasema ni raisi wa nchi na apewe heshima yake, hilo jina ndio mlilokubaliana huko kwenye vijiwe vyenu?.
 
MZEE hana mvuto,
kucHeza sana muziki hakusaidii kinachotakiwa ni hoja za kurudisha UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU kwa wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…