Wafuasi wa CHADEMA kwa sasa Wanachokifanya ni kwenda kumfuata mgombea wao wa urais kwa kutembea akiwa bado yuko mbali sana na mji/mohali anapofanyia mkutano...
Angalieni Mbuzi ya Lumumba hii
 
Utakuwa una matatizo ya usikivu wewe kuhusu sera za Chadema zinazowekwa hadharani na Lissu the GREATEST hadi KICHAA anaweweseka.
Kama mnadhani viongozi wa CHADEMA ndio wenye mtaji wa TUHUMA, kadiri siku ya kupiga kura inavyokaribia, ndivyo siri za viongozi wake zinavyoanikwa nje. Kwa kuanzia sikiliza hii hapa kwa umakini.
Baada ya kuisikiliza na zingine zilizohifadhiwa (Shambulio la Lissu na Mbowe, kupotea kwa Saanane, mauaji ya Mawazo, nk) kuwekwa wazi, mwenye KICHAA kuweweseka atajulikana.

Wahenga walisema "kama wewe ni mgomvi usijifiche kwenye nyumba ya vioo."
 
Nimeamini Shetani wa mtu ni Mtu
 
Mkuu nilitaka kuandika uzi kama huu, nakumbuka shule yetu ilikuwa na wanafunzi 1000, tulikuwa tukiandamana 500 tu ilikuwa shida.
 
WATANZANIA wengi wamechoka drama za hii saccos. Kwa sasa wanajitembeza tu, hakuna wa kuwanunua safari hii. Kama ni michango wamuulize cheamani zile 1ml na 500k za wabunge, pamoja na zile ruzuku kaweka kwenye shelf gani pale Ufipa.
 
Wasanii wetu mjifunze mnayemtumikia siye mbona kwa Lissu wanajaa na nyie hampo?
 
Huyu alipaswa baada ya mkutano tu awe mikononi mwa polisi.
 
Lissu kashamwingiza choo cha kike. Hata uwanja wa chato olikuwa hivi hivi. Baada ya kuona Wananchi wanakubaliana na Lissu kuwa uwanja ule hauna maana yoyote kwao.
... kati ya white elephant projects kuwahi kutokea nchi hii Chato International Airport utamsuta mzee baba hadi siku anaingia kaburini! Kama kuna mahali hela imechezewa ni pale halafu mwisho wa siku wakishaachia madaraka; uzee umewaelemea wanakuja kujidai "kujuta" wakati saa hizi viburi!
 
Huyu Makene ni mtu wa ajabu sana badala kuupdates ratiba ya mgombea urais hapa jukwaani amepiga kimya
 
Watanzania wa sasa sio wajinga uwadanganye kijingajinga namna hii.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…