Hayo Ni makosa machache Kati ya mengi mazuri, sasa Yeye naye Alisema kwenye swala la madini kuwa tutashitakiwa MIGA, Je Hilo yeye analisemaje,

Kwamba Watanzania tuwe na Raisi muoga asiyethamini na kuvitetea vitu vyetu licha ya makosa yaliyofanyika huko nyuma?
 
Hoja za Lissu ni uhalisia mtupu hazijibiki
 
Hapana TL ni shida ,watanzania wote m 50+ kila mmoja alikuwa anamuogopa Meko kuliko chochote lakini TL haogopi chochote na hii nadhani ni baada ya kukoswa risasi 16
Kifupi jamaa haogopi mahakama..haogopi kesi..haogopi Risasi na haogopi kifo maana alishaonja mauti ....

Kifupi Lissu haogopi chochote zaidi ya Mungu
 
Spana za Lissu si mchezo!! Si walikuwa wanapiga kelele eti maendeleo ya vitu!! Kiko wapi sasa??😂😂😂😂

Ndo mana tukisema Lissu ni mteule wa Mungu mataga inabidi wawe wanatuelewa saaana!

Ndani ya miezi mwezi mmoja tu wa kampeni za Lissu, wamachinga wameambiwa vitambulisho si lazima, ajira za walimu 13000 zimetoka, madaktari 1000 wameitwa kazini , watumishi wameanza kulipwa malimbikizo na kupandishwa madaraja na huko mikoani amri ya kujenga barabara zinatolewa.

Watanzania tuna kila sababu ya kumchagua Tundu Antiphas Lissu mwaka huu!!!

Ni yeye 🔥
 
Mwendo mpelampela.....
 
@MSAGA SUMU imesagwa njoo uinywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…