Maskini Magufuli. Alijua miaka mitano haitaisha. Ameimaliza kwa aibu kubwa
 
Alichosema Lissu ni uongo??
 
Hapana TL ni shida ,watanzania wote m 50+ kila mmoja alikuwa anamuogopa Meko kuliko chochote lakini TL haogopi chochote na hii nadhani ni baada ya kukoswa risasi 16
Ogopa sana ukimpiga Mboto risasi ikamjeruhi asife. Kimbia sana
 
naomba kukujuza yafuatayo:-
1.Makumi na makumi ya vijana wamepigwa risasi na kuuaw ziwa victoria,
wakiw ktk hrtk za uvuvi, kw kisingizio kuw wamevuk na kuingia hifadhi ya rubondo,
badal ya kukamatwa na kufikishw mahakaman.

2. Kampeni za Jiwe kw chato,
wenye vibanda, wafanyabiashar ndogo ndog na wafanybiashar wakubw wakiongozw na SULEIMU RWAIKONDO mwenye mikopo umiza,
walichangishw ili kufanikish,
ili hali yy anakejeli chadema kuchangisha.
wkt yy anazo za kuchota tu.

3.huku upinzan upo kw sana,
na sio kwmb anapendw kivile hapan,
tena hata ubunge walikuw washamchok sn.
kw hiyo usihofu,
kanyaga tu.

4. pia ule mrad w kubadili plate namba za pikipik mara tu alipoingiA,
nahis una upigaji ndan yake, uchunguzwe.

5.Chato tuna mbunge wa hovyo sana,
yaan anabebw na Jiwe tu,
vinginevyo hata yy asingethubutu kupoteza muda wake.
yaan ni mbunge wa serikali sio wa jimbo lake ,hana llote.
basi tu 2025 jimbo lipo wazi kabs hili hata sasa basi tu.

........
krb MH TUNDU LISSU.
nawakilisha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wenye akili wako kimyaaa field wanaoanga mikakati ya ushindi!

Wajinga wako jf wanafarijiana kwa mafuriko ambayo hata Slaa miaka 10 iliyopita akikuwa nayo!

Lisu wenu ni kama kidagaa tu na kamwe ccm haiwezi kukosa usingizi kisa Lisu.
 

Wananchi kwenye mikutano ya TA Lissu inayokuwa edited wanatokea kuwa na furaha wakiwa karibu kabisa na mtu wao...
Hali ni tofauti kabisa kwenye mikutano isiyokuwa edited ya JPM ambako wananchi wapo kimya mbali kabisa na mgombea utafikiri wamelazimishwa kuwepo pale...

#Mitano kwanza vs Mitano tena
#Mbeba maono vs Mkuu wa malaika
#Kiongozi wa watu vs Mtawala wa watu
#Mfariji wa Taifa vs Mkandamijazi

Watanzania si wajinga tena!!!
 

Kwenye chaguzi hizo mliiba sana... Lakini this time ugali moto mboga moto... Mtajua hamjui...!
 
Lilifanyika kosa la kiufundi kuzuia mikutano,haya yangezungumzwa kpnd chote cha miaka mitano wananchi wangezoea na wangeona ni kitu cha kawaida. Hata sasa,kuzuia matangazo mubashara ni makosa makubwa.
Ni bora tume ingemuengua
Walijaribu kumuengua ilishindikana kabisa
 
Lisu ameshindwa kupata pigo la ushindi,

Anatapatapa tu,

Habari yake inaisha 28/10/2020.
 
Mzee Yusuph amerudi kwa kasi sana kwenye chati ya taarab. Si ajabu mistari anaandikiwa na Lissu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…